Sina chuki na Wakenya ila nimejifunza haya katika kufanya nao kazi

wanawake wa kikenya wanatupenda sana wanaume wa Tanzania... waganda na warundi pia...!
 
Kenya kwa ujumla ni majirani wabaya sana, hawana urafiki au udugu wa ukweli, hasa kwenye issue ya opportunities wapo tayari kwa jambo lolote
 
True to some extent na yote hii inatokana na ukabila huko kwao kwani hata wao wenyewe kwa wenyewe hawathaminiani, wako sawa na Wahindi tu
 
Wa Kenya akili zao muda wote wanawaza mafanikio/pesa wako tayari kufanya lolote
Uzoefu wangu kufanya biashara na wakenya..
Ni wapambanaji na wanajua wanachotafuta.Wanakuheshimu mtanzania baada ya kujua uwezo wako kifedha au elimu!
Tuache kulalamika kwenye Kila kitu,tafuta sasa utawaona watu wa Kila mahali ni wazuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…