Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

Mkuu utakua ulioa mtoto wa mwisho kwao Al maaruf last born.
Hao watu sio waif material kabisa.
Ukitaka jiko jembe oa binti ambaye kwao ni msichana wa kwanza kuzaliwa halafu ana wadogo zake kibao.
 
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa.

Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachoniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sana na nahisi majukumu yamenielemea kabisa.

Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu.

Msinipopoe wakuu
ili mambo yaende anza kuzungumza na mwenzi wako, juu ya vitu usivyovipenda
kama haelewi anza kutandika na kuwa mkali kiasi, ataelewa
binadamu anahitaji kuelimishwa na kuelekezwa. usi assume kuwa anajua unachotaka
sehemu za kazi mbona tunakaa morning sessions kila siku kuelekezana cha kufanya, why not in our homes?
 
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa.

Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachoniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sana na nahisi majukumu yamenielemea kabisa.

Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu.

Msinipopoe wakuu
kama ni pisi kali na mbususus hakubanii wewe hayo mengine achana nayo bwana. mke jukumu lake kuu ni kugegedwa hayo mengine ni bonus tuu. akikunyima mbususu ndio umuwachekabisa
 
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa.

Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachoniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sana na nahisi majukumu yamenielemea kabisa.

Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu.

Msinipopoe wakuu
Ndoa ni msalaba. Vumilia .mkuu. tafuta mchepuko uwe unakupoza.
 
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa.

Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachoniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sana na nahisi majukumu yamenielemea kabisa.

Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu.

Msinipopoe wakuu
Mwanamke ni pambo la ndani ngeke wewe,! Watu fukara ndo wanaongoza kulialia kwenye ndoa,tafuta pesa ngaji wewe
 
Mvivu eneo gan?

Mvivu kupika, kufanya mapenzi, kufanya usafi, kutafuta pesa, mvivu wapi ukiwa specific itapendeza.
 
Kwani huonagi mabango yaliyochapishwa “kataa ndoa, ndoa ni utapeli”
 
Mvivu eneo gan?

Mvivu kupika, kufanya mapenzi, kufanya usafi, kutafuta pesa, mvivu wapi ukiwa specific itapendeza.
Mwamba ukaona utoboe Siri za mkeo kwenye hadhara kale kadude mnajta koromeo hakapo🤣🤣
 
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa.

Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachoniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sana na nahisi majukumu yamenielemea kabisa.

Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu.

Msinipopoe wakuu
Pole sana ndugu, huyu mkeo ulimjua kwa muda gani kabla ya kufunga ndoa? Nini kilikuvutia kwake hadi ukamuoa, ni chaguo lako au ulichaguliwa na wazazi? Kabla hujamuoa alikua anajishughulisha na nini na sasa anajishughulisha na nini

Makubaliano yenu na amalengo yenu kabla ya ndoa yalikua ni yapi?

Umewahi kukaa nae chini ukazungumza nae kuhusu hizo kero unaziona kwake?responce yake ilikua ipi?

Miezi minne ni michache sana kuanza kusema umemchoka mke ambae umemuoa, nafasi yako kama mume na kauli yako(we call it voice of authority) inaweza badilisha kila kitu ndani ya nyumba, simama kama mwanaume kemea yasiyo sahihi na utoe mwongozo wa maisha kwa huyo mkeo
 
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa.

Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachoniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sana na nahisi majukumu yamenielemea kabisa.

Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu.

Msinipopoe wakuu
unajua tumepokea maelezo upande mmoja tena maelezo yako hayajakamilika kiasi ya sisi tutafakari na kukutafutia ufumbuzi.
 
Kwamba kabla hujamuoa hakuwa mvivu?

Acheni kufeki hasa wakati wa uchumba
 
Back
Top Bottom