Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Kufuatia kudundwa kwa askari wa barabarani ile jana, nimejikuta navuta kumbukumbu za tarehe 29 Oktoba 2026.

Kitendo cha huyo askari kudundwa kimenifurahisha sana!

Hawa ma askari wa barabarani walihusika kuwaua Watanzania.

Oneni huyu akiwa kashika gobole lake akiwinda awapige risasi za kichwa watoto wa Kitanzania.

IMG_9716.jpeg


Kila nikikumbuka jinsi walivyokuwa wanawaua Watanzania kwa kuwapiga risasi hovyo hovyo, nakosa kabisa huruma dhidi yao.

Hivyo nampongeza sana huyo daktari bingwa aliyempa mkong’oto huyo askari wa kuongoza magari barabarani.

Kama kuna GoFundMe ya huyo daktari, naomba mtujulishe ili tuweze kumchangia hela kidogo.
 
Mbona na madaktari nao wanasema Yule Jamaa aliyempiga askari pale Mwenge ambaye ni Daktari kapigwa sana na Askari Polisi ?

Sasa itakuwaje hasa Mapolisi wakiwa wanaenda kutibiwa kwenye Mahospital?

Si watakuw wanatangulizwa Jehanam mapema sana ? Hivi viti ni zaidi ya Ukraine na Russia? 😅😅😅
 
Mbona na madaktari nao wanasema Yule Jamaa aliyempiga askari pale Mwenge ambaye ni Daktari kapigwa sana na Askari Polisi ?

Sasa itakuwaje hasa Mapolisi wakiwa wanaenda kitibiwa kwenye Mahospital?

Si watakuw wanatangulizwa Jehanam mapema sana ? Hivi viti ni zaidi ya Ukraine na Russia? 😅😅😅
Wadungwe tu masindano ya kila aina ikiwemo kuwafanya wasidindishe tena…
 
Mbona na madaktari nao wanasema Yule Jamaa aliyempiga askari pale Mwenge ambaye ni Daktari kapigwa sana na Askari Polisi ?

Sasa itakuwaje hasa Mapolisi wakiwa wanaenda kutibiwa kwenye Mahospital?

Si watakuw wanatangulizwa Jehanam mapema sana ? Hivi viti ni zaidi ya Ukraine na Russia? 😅😅😅
Hii itakuwa ni vita kali sana, na Madaktari wakiungana naona Polisi na Familia zao wakilamba mchanga sana.
 
Back
Top Bottom