Ni sawa lakini angalia kwa mapana yakeOct 29 Watanganyika waliowaua walikuwa hawana wazazi..?
Yesu hakuja kuitangua sheria bali kuitimiliza mambo ya jino kwa jino alisema tusilipe ubaya kwa ubaya bali ubaya kwa wemaHatufiki kwa hiari yetu,
mithali 29 :27 mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki
nakubaliana na weweWadungwe tu masindano ya kila aina ikiwemo kuwafanya wasidindishe tena…
Polisi wameonyesha nguvu yao kwa kumshushia kipigo daktari, madaktari nao wanatakiwa kuungana kuwaonyesha polisi kwamba nguvu wanayo.Mimi nawaza tu Madaktari wakiamua kufanya retaliation tutashudia TANZIA nyingi kwenye page za polisi na bahati mbaya polisi hawana hospitali ya maana
Hapa Tanzia zitakuwa nyingi, hapa vile soon utaona wakubwa wapolisi wanajipendekeza kwa madaktari maana vita ya polisi na watoa huduma wa afya haijawahi kuwa salamaPolisi wameonyesha nguvu yao kwa kumshushia kipigo daktari, madaktari nao wanatakiwa kuungana kuwaonyesha polisi kwamba nguvu wanayo.
Retaliate in whatever way is within your reach.
Tukio ilo lilikua baya sana LAKINI NATAKA Ujiulize maswali muhimu katika ili.HIVI MATUKIO AYA YANGEACHWA NA KUENDELEA NA KUSAMBAA NCHI NZIMA NINI KINGETOKEA NCHINI? KARIBUKufuatia kudundwa kwa askari wa barabarani ile jana, nimejikuta navuta kumbukumbu za tarehe 29 Oktoba 2026.
Kitendo cha huyo askari kudundwa kimenifurahisha sana!
Hawa ma askari wa barabarani walihusika kuwaua Watanzania.
Oneni huyu akiwa kashika gobole lake akiwinda awapige risasi za kichwa watoto wa Kitanzania.
View attachment 3666302
Kila nikikumbuka jinsi walivyokuwa wanawaua Watanzania kwa kuwapiga risasi hovyo hovyo, nakosa kabisa huruma dhidi yao.
Hivyo nampongeza sana huyo daktari bingwa aliyempa mkong’oto huyo askari wa kuongoza magari barabarani.
Kama kuna GoFundMe ya huyo daktari, naomba mtujulishe ili tuweze kumchangia hela kidogo.
Kwani wanapoteka raia , kuwatesa na kuwaua wanakuwa hawajui hilo? Njaa zikufanye uue ndugu zako?HAPANAWakuu naomba tusifike huko maana hao askari pia wana wazazi na wanatoka kwenye familia maskini kama sisi. Labda tupime weledi wao na siyo kuwaona kila askari ni adui
Mapana yapi...????Ni sawa lakini angalia kwa mapana yake
Njia ya Amani ya kuzuia ilikuwepo, nayo ni kusimamisha uchaguziTukio ilo lilikua baya sana LAKINI NATAKA Ujiulize maswali muhimu katika ili.HIVI MATUKIO AYA YANGEACHWA NA KUENDELEA NA KUSAMBAA NCHI NZIMA NINI KINGETOKEA NCHINI? KARIBU
Hayo majitu huwa hayaoni aibu kudanganya. Raia gani huyo mwenye akili tumamu anaweza kumsaidia polisi kumpiga raia mwenzake! Mimi hapa nilipo nikimuona polisi anakufa mbele yangu siwezi kumsaidia kwa chochote. Afe tu. Sembuse kupigwa!Mliro bila aibu anasema daktari kapigwa na raia waliochukizwa na kitendo chake cha kumshambulia askari! 😆😆
polisi anasimamisha kila daladala anaitwa konda badala ya dereva, wewe kwa ufaham wako kondakta unamkagua kitu gani mhimu kwa usalama wa chombo na abiria wake?Yesu hakuja kuitangua sheria bali kuitimiliza mambo ya jino kwa jino alisema tusilipe ubaya kwa ubaya bali ubaya kwa wema
Kwahiyo huruma siyo malezipolisi anasimamisha kila daladala anaitwa konda badala ya dereva, wewe kwa ufaham wako kondakta unamkagua kitu gani mhimu kwa usalama wa chombo na abiria wake?
Hilo wewe wasemaKwahiyo huruma siyo malezi
Tutakuwa tunatengeneza taifa gani kama tutauana sisi kwa sisi?nakubaliana na wewe
Ngabu,Kufuatia kudundwa kwa askari wa barabarani ile jana, nimejikuta navuta kumbukumbu za tarehe 29 Oktoba 2026.
Kitendo cha huyo askari kudundwa kimenifurahisha sana!
Hawa ma askari wa barabarani walihusika kuwaua Watanzania.
Oneni huyu akiwa kashika gobole lake akiwinda awapige risasi za kichwa watoto wa Kitanzania.
View attachment 3666302
Kila nikikumbuka jinsi walivyokuwa wanawaua Watanzania kwa kuwapiga risasi hovyo hovyo, nakosa kabisa huruma dhidi yao.
Hivyo nampongeza sana huyo daktari bingwa aliyempa mkong’oto huyo askari wa kuongoza magari barabarani.
Kama kuna GoFundMe ya huyo daktari, naomba mtujulishe ili tuweze kumchangia hela kidogo.
Okay,kumbe ni kusimamisha uchaguzi na muda huo serikali iliyoko madarakani muda wake umeisha. Je,nchi ingekua chini ya serikali hipi? KARIBU KAMANDA UNIPE ELIMUNjia ya Amani ya kuzuia ilikuwepo, nayo ni kusimamisha uchaguzi
Kwan kuanzia tar 29 mpaka rais anaapishwa nchi ilikuwa chini ya serikal ipi?Okay,kumbe ni kusimamisha uchaguzi na muda huo serikali iliyoko madarakani muda wake umeisha. Je,nchi ingekua chini ya serikali hipi? KARIBU KAMANDA UNIPE ELIMU
Watajijua wao wenyewe.Ngabu,
Jua tu siyo askari wote walioshiriki huo uovu.