Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Madaktari nao wakiamua "kuwadunda" polisi kwa njia za kitabibu si watapukutika kama sisimizi🤔
Kwani tume ya Jaji Lila imetoa ushahidi kwamba polisi ndo walioua MO29? Ebu acheni uzushi na uchocheziKwani hao raia wanaouliwa, kutekwa na kupotezwa na askari wao hawana ndugu mkuu? Je, wananchi waliouliwa MO29 hawana wazazi au ni nguruwe?
Kwahiyo kuuwa raia Ndio ilikua solutionOkay,kumbe ni kusimamisha uchaguzi na muda huo serikali iliyoko madarakani muda wake umeisha. Je,nchi ingekua chini ya serikali hipi? KARIBU KAMANDA UNIPE ELIMU
Kwahiyo uliwaua wewe?Kwani tume ya Jaji Lila imetoa ushahidi kwamba polisi ndo walioua MO29? Ebu acheni uzushi na uchochezi
Tatizo linakuja pale ambapo Ibrahimu alipomuuliza Mungu, Wakipatikana wema hata 10 kati ya 100 je utaangamiza? Sikatai ndani ya jeshi la polisi kuna watu ambao siyo weledi hata kidogo lakini pia ndani ya jeshi hilo hilo kuna hadi viongozi wa jumuiya ni waadilifu. Huwezi ukageneralize tu eti unawachukia askari wote. Shida ipo kwa kina MuriloKwahiyo uliwaua wewe?
Hao askari hawajui hilo nakwambiaWakuu naomba tusifike huko maana hao askari pia wana wazazi na wanatoka kwenye familia maskini kama sisi. Labda tupime weledi wao na siyo kuwaona kila askari ni adui
Ndani ya jeshi la polisi hao wenye weledi ni wachache sana aiseeTatizo linakuja pale ambapo Ibrahimu alipomuuliza Mungu, Wakipatikana wema hata 10 kati ya 100 je utaangamiza? Sikatai ndani ya jeshi la polisi kuna watu ambao siyo weledi hata kidogo lakini pia ndani ya jeshi hilo hilo kuna hadi viongozi wa jumuiya ni waadilifu. Huwezi ukageneralize tu eti unawachukia askari wote. Shida ipo kwa kina Murilo
Hao hao wachache ni mbeguNdani ya jeshi la polisi hao wenye weledi ni wachache sana aisee
Shida inaanza pale ambapo serikali kuwatumia hawa askari kufanya mauaji dhidi ya raiaHao hao wachache ni mbegu
Kumbe ni serikali siyo waoShida inaanza pale ambapo serikali kuwatumia hawa askari kufanya mauaji dhidi ya raia
Kwa hiyo kama ni serikali nani anayefanya action??Kumbe ni serikali siyo wao
Taarifa za awali nimesoma na kusikiliza kwenye vyombo vya habari, daktari alipigwa na wananchiMbona na madaktari nao wanasema Yule Jamaa aliyempiga askari pale Mwenge ambaye ni Daktari kapigwa sana na Askari Polisi ?
Sasa itakuwaje hasa Mapolisi wakiwa wanaenda kutibiwa kwenye Mahospital?
Si watakuw wanatangulizwa Jehanam mapema sana ? Hivi viti ni zaidi ya Ukraine na Russia? 😅😅😅
Pamoto hapo kaka nimeishiwa mbunuKwa hiyo kama ni serikali nani anayefanya action??
Kwani Askari akienda kutibiwa anakuwa amevaa combat/uniform au anakuwa kiraia?Hapa Tanzia zitakuwa nyingi, hapa vile soon utaona wakubwa wapolisi wanajipendekeza kwa madaktari maana vita ya polisi na watoa huduma wa afya haijawahi kuwa salama
Ndiyo hali ipo hivyo ukitaka kuwatetea hawa police yatakiwa ujitoe ufahamu kidogo.Kuna kiongozi wa CCM alikuwa anahojiwa siku za nyuma alisema kuwa October 29 walioua raia ni polisi sio CCM maana CCM hawana silaha hapo kuna kitu utakuwa umenielewaPamoto hapo kaka nimeishiwa mbunu
Kwani kumtambua askari hadi avae combat????Una umri gani wewe??Askari anatambulika kirahisi sana labKwani ukienda kutibiwa unakuwa umevaa combat au uniform.
Utamtambuaje mtu anaekuja kutibiwa kama huyu ni askari au ni nani.
Kwenye hii vita maPolisi wakiamua kunyoosha hakuna dokta atatoboa maana hata Rais wa nchi hii anawasikiliza maPolisi kwa sasa na siunaona Dokta kala kipondo mpaka kalazwa ICU na hakuna kitu kimefanyika
Na si mnasema maPolisi ni watekaji huoni kwamba wao wapo hatarini kwa sasa?
Nipe Elimu,kipi kingetokeaKwahiyo kuuwa raia Ndio ilikua solution
Duuu hii nchi codes zake ngumu sanaNdiyo hali ipo hivyo ukitaka kuwatetea hawa police yatakiwa ujitoe ufahamu kidogo.Kuna kiongozi wa CCM alikuwa anahojiwa siku za nyuma alisema kuwa October 29 walioua raia ni polisi sio CCM maana CCM hawana silaha hapo kuna kitu utakuwa umenielewa
Hapana ila raia ndiyo wanayo haki ya kuvamia vituo vya polisi,kuchoma miundombinu nkMatukio gani Comrade?
Kwa hiyo Mapolisi wao wana haki ya kumpiga raia hadi kulazwa ICU?
Anatambulikaje emu tuambieKwani kumtambua askari hadi avae combat????Una umri gani wewe??Askari anatambulika kirahisi sana lab