Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

Siku hizi kila mahali ni askari na bunduki! Tumeachiwa misikitini na makanisani tu, kuna mgeni toka nje ya nchi alipowasili tukiwa njiani aliniuliza "mbona kila mahali kuna askari na bunduki?" Nilifadhaika kumjibu kuwa rais atapita njia hii, akauliza wakutoka nchi gani? Nikajibaraguza nikapotezea swali lake kwani jibu lingeonesha ni vipi rais hawaamini watu wake.
Ungemwambia ukweli tu mkuu
 
Sema siku hizi ajinga pia anamiliki simu janja kama wewe. Jamii haiwezi kukosa migogoro na mivutano na lililotokea oktoba haliwez kufanya wengine tuone askari ni wabaya.
Kama wewe au baba yako ni askari jua tu tunawachukia sana tena sana...na bado
 
Tukio limetokea mbele ya geti la Lugalo. Waliompiga ni wanajeshi baada ya kutiwa upepo na huyo askari. Na chama cha madaktari (MAT) kimetoa msimamo kwamba huyo daktari akifa, wanajeshi na polisi wakienda hospitali watachomwa sindano za sumu wajifie mazima.

Ukitazama vizuri ile picha, wakati lipolisi limebwagwa chini, pembeni anaonekana mwanajeshi akiwa na uniform. Hawa majeda ndio waliompiga daktari wetu pendwa. Hii haikubaliki duniani wala binguni. Mapolisi na wanajeshi ktk nchi hii, yafaa walaaniwe kwa jina la Yesu.

Watadungwa sindano za sumu hadi wakome, wao si wanajifanya wana nguvu sana, sasa wakiwa hospital ni kudungwa sindano za ng'ombe na mbwa.
 
Kwani Askari akienda kutibiwa anakuwa amevaa combat/uniform au anakuwa kiraia?

Utamtambuaje mtu anaekuja kutibiwa kama huyu ni askari au ni raia?

Kwenye hii vita maPolisi wakiamua kunyoosha hakuna dokta atatoboa maana hata Rais wa nchi hii kwa sasa anawasikiliza maPolisi vibaya mno kwa sasa na siunaona Dokta kala kipondo mpaka kalazwa ICU na hakuna kitu kimefanyika

Na si mnasema maPolisi ni watekaji huoni kwamba wao wapo hatarini kwa sasa?

Hao mapolisi wasijulikane wanatoka nchi gani? Sio wao tu wanajulikana hadi ndugu zao.watauawa kwa sumu.
 
Jitete ndugu polisi lakini meza mliyoigusa ina vinywaji vya gharama au unajisahulisha kwenye makaratasi ya hospitali kuna neno occupation? unadhani askari hawajulikani? hii Tanzania ndogo sana, jichanganyeni page zenu zitajaa TANZIA za kutosha kumbukeni hata baadhi ya hospitali za polisi kuna madaktari raia specialist wanaenda kutibu eg. Baracks-Kilwa road, zahanati ya DPA jichanganyeni mkidhani hamjulikani

Wanajulikana vizurii sanaaa, 😂😂😂
 
Mapolisi ni majitu maongo sana. Yule mtu alipigwa na wanajeshi wa Lugalo, sio wananchi. Hakuna mwananchi mwenye akili za kiquma hadi amtetee polisi.
Wanajeshi hawakumpiga huyo mtu waliamulia huo ugomvi halafu wakamkabidhisha kwa hao askari wenzake walipompeleka kituoni ndiyo walipoenda kumtesa
 
Back
Top Bottom