Kufuatia kudundwa kwa askari wa barabarani ile jana, nimejikuta navuta kumbukumbu za tarehe 29 Oktoba 2026.
Kitendo cha huyo askari kudundwa kimenifurahisha sana!
Hawa ma askari wa barabarani walihusika kuwaua Watanzania.
Oneni huyu akiwa kashika gobole lake akiwinda awapige risasi za kichwa watoto wa Kitanzania.
View attachment 3666302
Kila nikikumbuka jinsi walivyokuwa wanawaua Watanzania kwa kuwapiga risasi hovyo hovyo, nakosa kabisa huruma dhidi yao.
Hivyo nampongeza sana huyo daktari bingwa aliyempa mkong’oto huyo askari wa kuongoza magari barabarani.
Kama kuna GoFundMe ya huyo daktari, naomba mtujulishe ili tuweze kumchangia hela kidogo.