Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
That’s just how ugly they are….Mbona kma sanamu la Posta
Wadungwe tu masindano ya kila aina ikiwemo kuwafanya wasidindishe tena…Mbona na madaktari nao wanasema Yule Jamaa aliyempiga askari pale Mwenge ambaye ni Daktari kapigwa sana na Askari Polisi ?
Sasa itakuwaje hasa Mapolisi wakiwa wanaenda kitibiwa kwenye Mahospital?
Si watakuw wanatangulizwa Jehanam mapema sana ? Hivi viti ni zaidi ya Ukraine na Russia? 😅😅😅
Hii itakuwa ni vita kali sana, na Madaktari wakiungana naona Polisi na Familia zao wakilamba mchanga sana.Mbona na madaktari nao wanasema Yule Jamaa aliyempiga askari pale Mwenge ambaye ni Daktari kapigwa sana na Askari Polisi ?
Sasa itakuwaje hasa Mapolisi wakiwa wanaenda kutibiwa kwenye Mahospital?
Si watakuw wanatangulizwa Jehanam mapema sana ? Hivi viti ni zaidi ya Ukraine na Russia? 😅😅😅
Hiyo ni ndo kazi ya kutukuka….Ningekuwa daktari, akija polisi nimtibu, namdunga tu sindano aishie
Hii ndio mbinu yao ya kujitetea, wakati uhalisia hakuna mwananchi wa Tz kwa sasa anayeweza kumtetea askari.Mliro bila aibu anasema daktari kapigwa na raia waliochukizwa na kitendo chake cha kumshambulia askari! 😆😆
Sahihi lakini kama wao wanashindwa kufikiria the same kwa raia unahisi nini kitatokea??Wakuu naomba tusifike huko maana hao askari pia wana wazazi na wanatoka kwenye familia maskini kama sisi. Labda tupime weledi wao na siyo kuwaona kila askari ni adui
Toka Jeshi la Polisi lilipokubali kutumika kisiasa limekuwa la hovyo kuwahi kutokea.POLISI CCM NI WASHENZIIIIIIIII
Ubaya ubaya tu.Wakuu naomba tusifike huko maana hao askari pia wana wazazi na wanatoka kwenye familia maskini kama sisi. Labda tupime weledi wao na siyo kuwaona kila askari ni adui
Hatari sanaUbaya ubaya tu.
Lazima tuongee lugha moja.
Lugha watayokuja nayo nasi ndo hiyo hiyo tutayoitumia.
Oct 29 Watanganyika waliowaua walikuwa hawana wazazi..?Wakuu naomba tusifike huko maana hao askari pia wana wazazi na wanatoka kwenye familia maskini kama sisi. Labda tupime weledi wao na siyo kuwaona kila askari ni adui
Wale waliouwawa M029 hawakuwa na wazazi au siyo?Wakuu naomba tusifike huko maana hao askari pia wana wazazi na wanatoka kwenye familia maskini kama sisi. Labda tupime weledi wao na siyo kuwaona kila askari ni adui
Hatufiki kwa hiari yetu,Wakuu naomba tusifike huko maana hao askari pia wana wazazi na wanatoka kwenye familia maskini kama sisi. Labda tupime weledi wao na siyo kuwaona kila askari ni adui