Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

Attachments

  • IMG-20260910-WA0031.jpg
    91.8 KB · Views: 11
Wanajeshi hawakumpiga huyo mtu waliamulia huo ugomvi halafu wakamkabidhisha kwa hao askari wenzake walipompeleka kituoni ndiyo walipoenda kumtesa
Asante kwa taarifa mkuu. Hata hivyo tayari nimepata uhakika kwamba kweli alipigwa na poliCCM sio wanajeshi. Naomba kufuta kauli yangu ya mwanzo.
 
Me naona askari walikuwa katika majukumu yao, mtoto akimwambia ukiona asikii, unampiga mapigo kuondoa upumbavu katika kichwa chake
 
Ile oct 29 kuna polisi waliwaambia raia waliosimian uchaguzi waache tisheti, kofia wakimbie wasiuawe..sasa sijui kuna askari wetu na wasio wetu,sijui
 
Wewe siku ukiyakanyaga utablow ..bweka huko huko kwa mabasha zako f*kin homo.
 
Cha kwanza sifanyi kazi unayosema nafanya, pili
Anayejua unafanya kazi gani ni mwajiri wako na ofisi za Bima(NHIF na nk) na hii category ya occupation haijawekwa kwa ajili ya Madaktari hii imeweka kwa ajili mashirika ya Bima yawasaidie wao kama wao
 
Kwahiyo mashirika ya bima ndio yanayoandika kwenye hiyo category? haaa haaa wewe tulia huwezi kushindana na mtu ambaye wewe wakati hujitambui ndio anakuhudumia. Hii vita ilishawahi kutokea mkoa mmoja miaka kama kumi na tano nyuma ilibidi wakuu wa polisi mkuo husika waombe msamaha lakini polisi walikuwa wameshandoka wengi. Kitu kingine Polisi wanajulikana ambao sio rahisi kuwa fahamu ni polisi wa Kamisheni ya Intelijensia ya jinai hao wengine tunaishi nao
 
Asante kwa taarifa mkuu. Hata hivyo tayari nimepata uhakika kwamba kweli alipigwa na poliCCM sio wanajeshi. Naomba kufuta kauli yangu ya mwanzo.
Pamoja sana mkuu katika kujenga hoja za jf
 
Nani anakiburi mabomu ya machozi yalikuwa wapi? Virungu vilikuwa wapi serikali ilikuwa wapi? Kutoka tamko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…