Uchaguzi 2020 Sina imani na CHADEMA na Lissu tena, hata wakishindwa itakuwa sawa tu

Kosa ni la Magufuli kukutumbua vyeti feki au ni lako kuliletea usanii taifa?
 
Hakuna mwenye uwezo wa kulinda kura mbele ya serikali ya CCM. Wana uwezo kubadiri sheria dakika yoyote ili kupata ushindi (kumbuka Jecha kule Zanzibar). Wana uwezo kuanza kuhesabu upya kura zilizohesabiwa vituoni badala ya kujumlisha wakijua mgombea wao ameshindwa. Wana uwezo wa kutumtangaza mshindwa kuwa mshindi kwani Sheria inailinda time ya uchaguzi. Ni madudu mengi, acha mwingine aongezee.
 
Umeandika hoja tupu mkuu
 
Wewe sio chadema wala mtaka mabadiliko acha unafiki
Hujanielewa kabisa wewe,Mimi nakuambia chadema iombe msaada hata kwa akina FBI ili kulinda kura zetu,kwani CCM wanpigwa chini saa mbili asubuhi tu,Lissu ana mamilioni ya kura juu ya Magu,lakini kulinda kura ndio kimbembe.
Dina CCM Sasa hivi wamekata tamaa wanachopanga huko vyumbani Ni namna ya kuiba kura tu,kwa sababu kwenye sanduku la kura CCM hawashindi.
Umeelewa Dina?
Sema nimeandika kifasihi zaidi.
 
Wewe tutusa hujui lolote,
Mkataba wa Geneva unakataza na haukubaliani na Uchaguzi unaofanyika chini ya mitutu ya bunduki.
Zanzibar inaweza kuwa mfano wa nchi kufanya uchaguzi huku magari ya deleya yakizunguka mitaani na mitutu ya bunduki.
 
Wewe tutusa hujui lolote,
Mkataba wa Geneva unakataza na haukubaliani na Uchaguzi unaofanyika chini ya mitutu ya bunduki.
Zanzibar inaweza kuwa mfano wa nchi kufanya uchaguzi huku magari ya deleya yakizunguka mitaani na mitutu ya bunduki
 
Je
Je chama Kama chama hakiwezi kuomba msaada Kama Kuna viashiria vya uonevu kwenye Uchaguzi?
Ona Sasa Zanzibar jinsi Vyombo vya dola vilivyomwagwa.
Je hapo Hakuna maandalizi ya wizi wa kura na uonevu?
 
Unafikra za kitumwa.
unaamini kabisa mwenye uwezo wa kulinda kura ni UN?
kwanza nani kakudanganya UN wanalinda kura?
 
Unachambua au Unachambuliwa?
Unapoishi hakuna watu laki 3 (nje ya kura)
Ila una mamilion ya kura

Vituko!
Nikuulize swali dogo ewe kijana,hivi unaamini kabisa waalimi na familia zao na ndugu zao,watachagua Jiwe?,je madaktari,manesi,wahasibu,wagani,wagavi,wahandisi,Mapolisi,na wanajeshi wote,hao wote na familia zao na ndugu zao Ni wahanga wa utawala huu.
Unasemaje kwa wakulima wa korosho kwa mfano na wakulima wengine,
Unasemaje kwa wafanyabiashara.
Haya Ni baadhi ya makundi yaliyoathirika na Jiwe.
Huko ndani ya CCM safari hii kutafanyika uasi mkubwa Sana.
Subiri utaona.
 
Unafikra za kitumwa.
unaamini kabisa mwenye uwezo wa kulinda kura ni UN?
kwanza nani kakudanganya UN wanalinda kura?
Hujui lolote kichwa maji wewe.
Kwa taarifa yako safari hii Uchaguzi utafanyika kwa vitisho vya kijeshi zaidi,angalia Zanzibar ndio utajua.
Mkataba wa Geneva unakataza Uchaguzi kufnyika katikabmazingira ya kivita.
Halafu UN sio Mabeberu.
 

Go away, idiot 😝
 
Hujui lolote kichwa maji wewe.
Kwa taarifa yako safari hii Uchaguzi utafanyika kwa vitisho vya kijeshi zaidi,angalia Zanzibar ndio utajua.
Mkataba wa Geneva unakataza Uchaguzi kufnyika katikabmazingira ya kivita.
Halafu UN sio Mabeberu.
Tatizo Chadema mnapanic sana.mkiwekewa dole la kati mnapanic mpaka mnashindwa kuandika mkaeleweka.
umeandika nini wewe mtegemea U.N kulinda kura?
 

Very sad UN are busy fighting Corona
 
Rekebisha hicho kichwa cha habari, kimekaa ki negative sn wakati hauna maana hiyo.
 
Maajabu ya Dunia,ikitokea Lisu akashinda,ndo kusema mbowe waziri mkuu,msigwa tamisemi,Lema fedha,mdee sheria na katiba,heche Mambo ya ndani.Du hiyo nchi inakaaje?Mi naona chadema hamuko serious.twende na Jpm.
 
Una akili timamu ?
Maana unabwabwaja ujinga na upuuzi kama Gwajima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…