Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kuna uwezekano mkubwa magufuli akawa anapambania uchumi wa nchi nyingi afrika indirectly, of which cdm hawajui lolote linaloendelea dunia hii wao wakishachangisha wanachama basi wamemaliza kila kitu!
- Kwa uchaguzi wa mwaka huu then its 100% on sure that chadema is gone and haitarudi tena ( and there is nothing you can do about it)
- wanachama wengi wa cdm hawajaenda shule kuanzia mwenyekiti na hoja zao zote ni za kupiga kelele wakati wa kampeni huezi skia what they really mean
- Magufuli is the next nyerere after all the initialized projects begin operations officially
- Hakunaga ukombozi wa uchumi wa mwananchi mmoja mmoja duniani, kila sehem rule inaotumika ni survival for the fittest
- ccm is here to stay mpaka 2100 as to polepole himself! na sio kwamba hatujui wanaiba kura but we support them because bado upinzani ni uchwara nchi hii
Hapo uliposema kuwa sio kwamba hujui kuwa wanaiba kura, ndio hoja yote ilipo. Hayo mengine ni kubembeleza mtoto alale.