mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Ukiwa baba nyumbani watoto na mama wanaweza wasikupende lakini shikamoo watakupa. Tena ikiwa muda wote uko nyumbani wanakuwa na hali ngumu. Baba si una mamlaka? na hayo huwatia woga.Japo watakupinga walio wengi Ila ukwel wakiwepo wasimamiz Makin na watu wakaamua kulinda kura kiukwel maguful atapigwa kipigo kibaya Sana ,maana walio wengi hata huko ccm hawamkubal yaan wanamsanif tu ili wapate ugali Ila ndani ya mioyo yao hawapendezwi kabisa na style ya uongozi wake.
Ingawaje mzee ni mbishi na hatak kuamini hilo kama anajiamini kura zihesabiwe kila kituo Tena kwa uwaz kama walivyofanya kipind Cha kupitisha wabunge huko ccm yaan ataambulia aibu kubwa sana.
Mzee ifike wakat ajirekebishe ubabe na kuumiza watu kwa makusud apunguze kama sio kuacha kabisa maana watu hawamkubal kabisa ni vile tu watanzania ni waoga hivyo wameamua kuwa wanafki tu ili cku ziende.
Nakuhakikishia hata akina nape na wengine kibao Kama akina makamba hawampend huyu jamaa sema njaa ndio tatizo wameamua Bora liende tu Ila ukwel wote mungu ndie anaujua, Tena hakuna mtu anaeumia Kama nape na group lake yaan Wana mengi ya moyon Ila hawana ubavu huo na saiz wameamua liwalo na liwe na nape anaweza rudishwa kwenye Baraza la mawazir next term maana kajitahid Sana kurekebisha makosa yake kwa mzee.
Mwisho kabisa CCM itaendelea kutawala tu kwa njia yoyote ile maana watanzania ni makondoo ya kafara so mm bado naamin ccm bado ipo ipo Sana na itaendelea kutuburuza had kizaz hiki Cha nyoka kijetoweka kabisa pengine ndio wataachia nchi na kuachia nchi sidhan Kama itakuwa kwa njia ya paper hapa lazima kafara itolewe ndipo ccm atatoka madarakan Ila ukwel watu hawaipend ccm kuliko chochote watu Wana mengi ndani ya mioyo yao.
Na kuhusu kulinda kura kwa hali iliopo sio rahisi kiivo watz ni waoga Sana wakiona sare za police ,jwt na vifaru so wote tutakaa ndani kudubiria mgombea wa ccm atangazwe. Labda Zanzibar wanaweza fanya lolote maana wale ni cku na muda vinasubiriwa kulipuka tu na watu wapo tayal kwa Hilo hapa Ni swala la muda tu
Mtu akikutukana hata akiomba msamaha kilichosemwa hakifutiki. Kikibwa tunavumiliana
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app