Uchaguzi 2020 Sina imani na CHADEMA na Lissu tena, hata wakishindwa itakuwa sawa tu

Hapo uliposema kuwa sio kwamba hujui kuwa wanaiba kura, ndio hoja yote ilipo. Hayo mengine ni kubembeleza mtoto alale.
 
Relax brother.
 
Hapo uliposema kuwa sio kwamba hujui kuwa wanaiba kura, ndio hoja yote ilipo. Hayo mengine ni kubembeleza mtoto alale.

na tunawasupport kabisa waibe tu maaaaana huu upinzani ni kama sjui hawakujiandaaa vyama vingi
 
Kwa nlivyoisoma huu uzi, inaonyesha huna uhakika na kile ulichokiandika. Jpm atawanyosha hatari kwenye uchaguzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…