Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
Hapa ndo ulifanya kosa lako. usirudie.nilimwamini sana. Nilimchukulia kama dada.
Kazini kwako hukuenda na mtu yyt kipindi unaiitwa kwaio Fanya kazi lipwa pesa yako nenda nyumbani huko ndio kuna ndg zako. Sijui vijana wa siku waambiwe waelewe kila unaemuona kazin anatafuta ugali wake aidha kwa uwezo wake, uchawi na ndulele au kunafikia wenzake ili aonekane bora. Na kosa sio lake wewe ndio mwenye kosa hapo mdomo wako umekuponza. Solution usije ukathubutu kumuuliza chochote just nenda siku ulioitwa baada ya hapo kaa kimya soma mazingiraKuna baadhi ya wafanyakazi kazini ni kama wanakinga , hawaguswi hata wakikosea vipi. Wanafanya makosa ya wazi, lakini hawaguswi. Lakini wewe ukisema tu kitu kidogo, unaandikiwa barua.
Nilikuwa na mtu mmoja kazini ambaye nilimwamini sana. Nilimchukulia kama dada. Nilimueleza changamoto zangu, hata stress ninazopitia. Siku nyingine nilimwambia, “Leo sijisikii kuja kazini, ngoja nidanganye kuwa naumwa,” nikidhani ni mtu wa kuelewa.
Kumbe hiyo taarifa alienda kuichongea kwa uongozi.
Mwisho wa siku nikaambiwa nimepewa barua ya disciplinary hearing na natakiwa kuhudhuria kikao Jumatatu.
Wakati huo huo, huyo mtu amekuwa na tabia nyingi za hovyo kazini, anapiga simu binafsi muda wa kazi, anaondoka bila ruhusa, lakini hajawahi hata kuitwa kuhojiwa.
Nimeduwaa. Kusema kweli nimevunjika moyo sana. Hivi niende kwenye hicho kikao au niandike barua tu ya kuresign ?
Hii hali ya unafiki na upendeleo kazini inaumiza. Unafanya kazi kwa juhudi lakini watu wa fitna wanakuzidi kete.
Wenzangu, hivi ukiona mazingira ya kazi yako ni sumu kiasi hiki, uamuzi bora ni kuondoka au kupambana hadi mwisho?
Maoni yenu yatanisaidia sana😔😭
Kweli wanawake wakiwezeshwa wanaweza.Kuna baadhi ya wafanyakazi kazini ni kama wanakinga , hawaguswi hata wakikosea vipi. Wanafanya makosa ya wazi, lakini hawaguswi. Lakini wewe ukisema tu kitu kidogo, unaandikiwa barua.
Nilikuwa na mtu mmoja kazini ambaye nilimwamini sana. Nilimchukulia kama dada. Nilimueleza changamoto zangu, hata stress ninazopitia. Siku nyingine nilimwambia, “Leo sijisikii kuja kazini, ngoja nidanganye kuwa naumwa,” nikidhani ni mtu wa kuelewa.
Kumbe hiyo taarifa alienda kuichongea kwa uongozi.
Mwisho wa siku nikaambiwa nimepewa barua ya disciplinary hearing na natakiwa kuhudhuria kikao Jumatatu.
Wakati huo huo, huyo mtu amekuwa na tabia nyingi za hovyo kazini, anapiga simu binafsi muda wa kazi, anaondoka bila ruhusa, lakini hajawahi hata kuitwa kuhojiwa.
Nimeduwaa. Kusema kweli nimevunjika moyo sana. Hivi niende kwenye hicho kikao au niandike barua tu ya kuresign ?
Hii hali ya unafiki na upendeleo kazini inaumiza. Unafanya kazi kwa juhudi lakini watu wa fitna wanakuzidi kete.
Wenzangu, hivi ukiona mazingira ya kazi yako ni sumu kiasi hiki, uamuzi bora ni kuondoka au kupambana hadi mwisho?
Maoni yenu yatanisaidia sana😔😭
Onyo...Onyo....Onyo...Kuna baadhi ya wafanyakazi kazini ni kama wanakinga , hawaguswi hata wakikosea vipi. Wanafanya makosa ya wazi, lakini hawaguswi. Lakini wewe ukisema tu kitu kidogo, unaandikiwa barua.
Nilikuwa na mtu mmoja kazini ambaye nilimwamini sana. Nilimchukulia kama dada. Nilimueleza changamoto zangu, hata stress ninazopitia. Siku nyingine nilimwambia, “Leo sijisikii kuja kazini, ngoja nidanganye kuwa naumwa,” nikidhani ni mtu wa kuelewa.
Kumbe hiyo taarifa alienda kuichongea kwa uongozi.
Mwisho wa siku nikaambiwa nimepewa barua ya disciplinary hearing na natakiwa kuhudhuria kikao Jumatatu.
Wakati huo huo, huyo mtu amekuwa na tabia nyingi za hovyo kazini, anapiga simu binafsi muda wa kazi, anaondoka bila ruhusa, lakini hajawahi hata kuitwa kuhojiwa.
Nimeduwaa. Kusema kweli nimevunjika moyo sana. Hivi niende kwenye hicho kikao au niandike barua tu ya kuresign ?
Hii hali ya unafiki na upendeleo kazini inaumiza. Unafanya kazi kwa juhudi lakini watu wa fitna wanakuzidi kete.
Wenzangu, hivi ukiona mazingira ya kazi yako ni sumu kiasi hiki, uamuzi bora ni kuondoka au kupambana hadi mwisho?
Maoni yenu yatanisaidia sana😔😭
msi mjaze mihemuko mapema hii, kuji ajiri sio Kwa ajili ya kila mtu.Ajira ni utumwa, kama una akiba ya kutosha anzisha shughuli zako binafsi zitakazokuingizia kipato
Wewe unaacha kazi umeshapata nyingine?Kuna baadhi ya wafanyakazi kazini ni kama wanakinga , hawaguswi hata wakikosea vipi. Wanafanya makosa ya wazi, lakini hawaguswi. Lakini wewe ukisema tu kitu kidogo, unaandikiwa barua.
Nilikuwa na mtu mmoja kazini ambaye nilimwamini sana. Nilimchukulia kama dada. Nilimueleza changamoto zangu, hata stress ninazopitia. Siku nyingine nilimwambia, “Leo sijisikii kuja kazini, ngoja nidanganye kuwa naumwa,” nikidhani ni mtu wa kuelewa.
Kumbe hiyo taarifa alienda kuichongea kwa uongozi.
Mwisho wa siku nikaambiwa nimepewa barua ya disciplinary hearing na natakiwa kuhudhuria kikao Jumatatu.
Wakati huo huo, huyo mtu amekuwa na tabia nyingi za hovyo kazini, anapiga simu binafsi muda wa kazi, anaondoka bila ruhusa, lakini hajawahi hata kuitwa kuhojiwa.
Nimeduwaa. Kusema kweli nimevunjika moyo sana. Hivi niende kwenye hicho kikao au niandike barua tu ya kuresign ?
Hii hali ya unafiki na upendeleo kazini inaumiza. Unafanya kazi kwa juhudi lakini watu wa fitna wanakuzidi kete.
Wenzangu, hivi ukiona mazingira ya kazi yako ni sumu kiasi hiki, uamuzi bora ni kuondoka au kupambana hadi mwisho?
Maoni yenu yatanisaidia sana😔😭
✍️Punguza kamdomo ka kuongea kila jambo lako binafsi kwa visebengo wenzio.Umefuata kazi,fanya kazi.Pambana kwa akili usiondoke hadi upate sehemu nzuri zaidi.