Una utoto mwingi kichwani mwako.. 🙂 🙂Kuna baadhi ya wafanyakazi kazini ni kama wanakinga , hawaguswi hata wakikosea vipi. Wanafanya makosa ya wazi, lakini hawaguswi. Lakini wewe ukisema tu kitu kidogo, unaandikiwa barua.
Nilikuwa na mtu mmoja kazini ambaye nilimwamini sana. Nilimchukulia kama dada. Nilimueleza changamoto zangu, hata stress ninazopitia. Siku nyingine nilimwambia, “Leo sijisikii kuja kazini, ngoja nidanganye kuwa naumwa,” nikidhani ni mtu wa kuelewa.
Kumbe hiyo taarifa alienda kuichongea kwa uongozi.
Mwisho wa siku nikaambiwa nimepewa barua ya disciplinary hearing na natakiwa kuhudhuria kikao Jumatatu.
Wakati huo huo, huyo mtu amekuwa na tabia nyingi za hovyo kazini, anapiga simu binafsi muda wa kazi, anaondoka bila ruhusa, lakini hajawahi hata kuitwa kuhojiwa.
Nimeduwaa. Kusema kweli nimevunjika moyo sana. Hivi niende kwenye hicho kikao au niandike barua tu ya kuresign ?
Hii hali ya unafiki na upendeleo kazini inaumiza. Unafanya kazi kwa juhudi lakini watu wa fitna wanakuzidi kete.
Wenzangu, hivi ukiona mazingira ya kazi yako ni sumu kiasi hiki, uamuzi bora ni kuondoka au kupambana hadi mwisho?
Maoni yenu yatanisaidia sana😔😭
Ukiacha Kazi nitakuona hamnazo, unashindwa kumdharau huyo mtu? Unataka kumpa umuhimu kiasi kwamba unataka kuacha Kazi?Ndugu usiende mtaani bila kazi kule ni hatari kuliko kukaa kwenye kazi yenye changamoto.
Kwa hili Naona shida unajitafutia mwenyewe.
Umeenda kazini hujafuta urafiki pale,kazini ni uwanja wa Vita pambana
Hii ilishanikuta nilimwamini staff mwenzangu kila kosa ninalofanya mimi akawa anampelekea boss mazingira ya kazini yalikuwa magumu sana hatimae wote tumesimamishwa kazi!Kuna baadhi ya wafanyakazi kazini ni kama wanakinga , hawaguswi hata wakikosea vipi. Wanafanya makosa ya wazi, lakini hawaguswi. Lakini wewe ukisema tu kitu kidogo, unaandikiwa barua.
Nilikuwa na mtu mmoja kazini ambaye nilimwamini sana. Nilimchukulia kama dada. Nilimueleza changamoto zangu, hata stress ninazopitia. Siku nyingine nilimwambia, “Leo sijisikii kuja kazini, ngoja nidanganye kuwa naumwa,” nikidhani ni mtu wa kuelewa.
Kumbe hiyo taarifa alienda kuichongea kwa uongozi.
Mwisho wa siku nikaambiwa nimepewa barua ya disciplinary hearing na natakiwa kuhudhuria kikao Jumatatu.
Wakati huo huo, huyo mtu amekuwa na tabia nyingi za hovyo kazini, anapiga simu binafsi muda wa kazi, anaondoka bila ruhusa, lakini hajawahi hata kuitwa kuhojiwa.
Nimeduwaa. Kusema kweli nimevunjika moyo sana. Hivi niende kwenye hicho kikao au niandike barua tu ya kuresign ?
Hii hali ya unafiki na upendeleo kazini inaumiza. Unafanya kazi kwa juhudi lakini watu wa fitna wanakuzidi kete.
Wenzangu, hivi ukiona mazingira ya kazi yako ni sumu kiasi hiki, uamuzi bora ni kuondoka au kupambana hadi mwisho?
Maoni yenu yatanisaidia sana😔😭
Kuwa na discipline ya maisha.Kuna baadhi ya wafanyakazi kazini ni kama wanakinga , hawaguswi hata wakikosea vipi. Wanafanya makosa ya wazi, lakini hawaguswi. Lakini wewe ukisema tu kitu kidogo, unaandikiwa barua.
Nilikuwa na mtu mmoja kazini ambaye nilimwamini sana. Nilimchukulia kama dada. Nilimueleza changamoto zangu, hata stress ninazopitia. Siku nyingine nilimwambia, “Leo sijisikii kuja kazini, ngoja nidanganye kuwa naumwa,” nikidhani ni mtu wa kuelewa.
Kumbe hiyo taarifa alienda kuichongea kwa uongozi.
Mwisho wa siku nikaambiwa nimepewa barua ya disciplinary hearing na natakiwa kuhudhuria kikao Jumatatu.
Wakati huo huo, huyo mtu amekuwa na tabia nyingi za hovyo kazini, anapiga simu binafsi muda wa kazi, anaondoka bila ruhusa, lakini hajawahi hata kuitwa kuhojiwa.
Nimeduwaa. Kusema kweli nimevunjika moyo sana. Hivi niende kwenye hicho kikao au niandike barua tu ya kuresign ?
Hii hali ya unafiki na upendeleo kazini inaumiza. Unafanya kazi kwa juhudi lakini watu wa fitna wanakuzidi kete.
Wenzangu, hivi ukiona mazingira ya kazi yako ni sumu kiasi hiki, uamuzi bora ni kuondoka au kupambana hadi mwisho?
Maoni yenu yatanisaidia sana😔😭
Chawa ana nguvu hasa kwa bosi mjingaKuna baadhi ya wafanyakazi kazini ni kama wanakinga , hawaguswi hata wakikosea vipi. Wanafanya makosa ya wazi, lakini hawaguswi. Lakini wewe ukisema tu kitu kidogo, unaandikiwa barua.
Nilikuwa na mtu mmoja kazini ambaye nilimwamini sana. Nilimchukulia kama dada. Nilimueleza changamoto zangu, hata stress ninazopitia. Siku nyingine nilimwambia, “Leo sijisikii kuja kazini, ngoja nidanganye kuwa naumwa,” nikidhani ni mtu wa kuelewa.
Kumbe hiyo taarifa alienda kuichongea kwa uongozi.
Mwisho wa siku nikaambiwa nimepewa barua ya disciplinary hearing na natakiwa kuhudhuria kikao Jumatatu.
Wakati huo huo, huyo mtu amekuwa na tabia nyingi za hovyo kazini, anapiga simu binafsi muda wa kazi, anaondoka bila ruhusa, lakini hajawahi hata kuitwa kuhojiwa.
Nimeduwaa. Kusema kweli nimevunjika moyo sana. Hivi niende kwenye hicho kikao au niandike barua tu ya kuresign ?
Hii hali ya unafiki na upendeleo kazini inaumiza. Unafanya kazi kwa juhudi lakini watu wa fitna wanakuzidi kete.
Wenzangu, hivi ukiona mazingira ya kazi yako ni sumu kiasi hiki, uamuzi bora ni kuondoka au kupambana hadi mwisho?
Maoni yenu yatanisaidia sana😔😭
Mdogo wangu wewe bado ni Mtu muhimu sanamsi mjaze mihemuko mapema hii, kuji ajiri sio Kwa ajili ya kila mtu.
biashara Ina hatua kuanzia mwanzo, kukomaa hadi ukuaji, je yeye akale wapi wakati huo?.
Biashara ina hesabu au sayansi yake, na sio tu uki jisikia waweza fanya.
Mtu muhimu kivipi kaka?Mdogo wangu wewe bado ni Mtu muhimu sana
kama umeitwa kwenye hearing hopefully mna chama cha wafanyakazi,Maoni yenu yatanisaidia sana😔😭