DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kuna MTU anakuwa na pesa bank Kama mil 100 Ila unamkuta anakesha ili aipate laki moja
Na kuna MTU akilipwa laki moja kesho yake haendi kazini
Unachopitia wewe inaweza kuwa ni hali ya kumiliki mil 100 Ila unakesha kisa laki moja.
Kiufupi wewe ni chosen one -ni MTU ambaye una dream kubwa na unapenda kuona unasonga mbele.
So ndo maana kuna muda ukilala unahisi unapoteza muda , ukila vizuri utahisi unaharibu hela n.k
Mimi naomba uzingatie mambo matatu
1 .Well-being (utimamu wa akili ,mwili
na Afya )
2. Kutoa au give back -kwa wazazi , ndugu au watoto yatima n.k
Kupitia kutoa utarudi ndani utakuwa na ile sense of inner self hali ya ubindamau utaanza kujiona Mimi nipo juu na nahitaji kujivunia nilichonacho.
3. Kushukuru -jitahidi uwe unashukuru Sana shukrani huwa inakufanya ukae katika present moment na kusahu kwa muda past na kutoiogopa future.