Sina raha, wasiwasi wa maisha unanisumbua

Kuna MTU anakuwa na pesa bank Kama mil 100 Ila unamkuta anakesha ili aipate laki moja

Na kuna MTU akilipwa laki moja kesho yake haendi kazini


Unachopitia wewe inaweza kuwa ni hali ya kumiliki mil 100 Ila unakesha kisa laki moja.


Kiufupi wewe ni chosen one -ni MTU ambaye una dream kubwa na unapenda kuona unasonga mbele.


So ndo maana kuna muda ukilala unahisi unapoteza muda , ukila vizuri utahisi unaharibu hela n.k


Mimi naomba uzingatie mambo matatu

1 .Well-being (utimamu wa akili ,mwili
na Afya )

2. Kutoa au give back -kwa wazazi , ndugu au watoto yatima n.k

Kupitia kutoa utarudi ndani utakuwa na ile sense of inner self hali ya ubindamau utaanza kujiona Mimi nipo juu na nahitaji kujivunia nilichonacho.


3. Kushukuru -jitahidi uwe unashukuru Sana shukrani huwa inakufanya ukae katika present moment na kusahu kwa muda past na kutoiogopa future.
 
Acha kuongea vitu vyepesi vyepesi inaonekana wewe bado mtoto na nadharia
za kufikirika

Huyo ana personality disorders/ Mental health issue anatakiwa apate ushauri
wa kitaalam. Mtu ana wasiwasi unaongea kirahisi hivyo. Kabla jambo
halijawa kubwa chukua hatua. Tatizo lilikuwepo ila lime ongezeka baada ya

Kugombana na mke wake kiasi kwamba huwezi kujizuia. Ukiona jambo
akili ina shindwa kulizuia hilo ni tatizo siku si nyingi utaishia kwenye ulevi

Hivyo tafuta Psychologists upate session za counselling and Psychotherapy

Mimi sipendi kufanya sugar coating au ku polish mambo bora ajue ukweli na
achukue hatua mapema.
 
Again, thank you.
 
Natoa offa, Leo nimetembelea uwanja wa sokoine mbeya kuna mechi. Kama kuna mtu yupo hapa aje tusalimiane nimnunulie hata kinywaji.
 
Tatizo lako.
1. Unapenda kujilinganisha na watu fulani bila kujua uhalisia wa maisha yao.
2. Huna moyo wa shukurani
3. Ulipitia maisha ya kunyanyasika sana enzi za utoto wako.
4. Ulilelewa na Mzazi mmoja haukupata malezi ya wazazi wote.
Hilo tatizo lina utatuzi wake ni PM ili nikuoe namba ya Mwanasaikolojia au niku mention kwenye nyuzi zangu zinazoweza kukuondolea hiyo hali
 


Umesoma nilichoandika ?

Well-being nilioandika nimemaanisha nini ?

Well -being Ina lenga utimamu wa akili , utimamu ya Afya na mwili

Sasa katika kuipambania well-being yake ndo anaangalia therapeutics mbali mbali za yeye kuwa sawa.

Mfano nimetoa hints Kama kushukuru kufanya Gratitude hii ni therapeutic katika kuondoa depression na fear of unknown. N.k


Kuna meditation

so kabla ya kujibu uwe unasoma na kuelewa
 
Nimepita mle mle mkuu post #56
 
Hio #3 na #4 hapana, sijanyanyasika utotoni na nimeishi na wazazi wote wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…