Sina raha, wasiwasi wa maisha unanisumbua

Acha uswahili dogo ushimen kazungumzia kuhusu personality au mimi

Wewe unajua kitu kinachoitwa " personality disorders" au una izungumzia
Kimtaani mtaani.?
Soma earlier post za Ushimen utanielewa ninachomaanisha
 
Kwanza inabidi ujue kusudi la Maisha yako.
Pili usijilinganishe na mtu au watu pia epuka over expectation maana over expectation kills.

Jiwekee goals long term goals na short term goals alafu jifanyie evaluation

Jichanganye na wenzako fanya shughuli za kijamii upatapo muda wa free ie michezo

Jipende na jikubali ukipata muda jipongeze na kujipa outing mwenyewe vaa vizuri kula vizuri kunywa vizuri enjoy.

Pia mkumbuke muumba wako toa sadaka uwe mkristo au muislamu kutoa sadaka kwa wenye uhitaji

NB
Ushawai kutumia vilevi vyovyote? Miss use of drugs.
 
Nimependa ushauri wako, ahsante.

Kwa upande wa swali uliloniuliza, hapana kwa kweli sijui hata bia zinauzwaje
 
Mimi sio mwanasaikolojia ila nilisoma mahala fulani na ninadhani kinachokutokea kinatokea wengi, kinaitwa "impostor syndrome"; yaani mtu anaona kama mafanikio na hatua alizochukua hastahili kabisa

Tiba yake mkuu hapa labda bangi kidogo kila ikifika jioni, hamna kitu kinaweza kukufanya uridhike na ulichonacho kama huo mmea (vuta kidogo halafu kaa sebuleni kwako tathmini vitu unavyomiliki na unapotaka kwenda )
 
Hii comment nilishaga sahau Kama nili itoaga Mimi.
 
Avute kidogo TU..maana akizidisha TU itamletea shida zaidi ya alizo kua nazo.
 
Ila kwer
 
Huku wataka kule wataka, mwishowe unazama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…