Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
😂😂😂Si ndo ivo nawe mchepuko hadharan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Si ndo ivo nawe mchepuko hadharan
Wanatofautiana mkuuChini ya jua kila mwanamke ni pisi kali.
Mkuu, angalau tusikie maoni yako
Acha tuwape sifa tu mkuu, kwa uumbaji mliopendelewaIla wewe khaaa😂😂hodari
Kabila gn huyo mrembo[emoji2]Acha tuwape sifa tu mkuu, kwa uumbaji mliopendelewa
Ipende na kuithamini familia yako kaka! Lea familia kaka! Familia yako tu ndiyo itakuwa na wewe hata mwisho! Acha uzinzi! Wanaume halisi wamebaki wachache sana duniani! Pole.Tangu nilipokutana naye tu, nakuwa namuwaza yeye; Ana sura nzuri, nywele ndefu, mweupe, mwili wa kuvutia, umbo namba nane, chura ya wastani yakuvutia (curvy), sauti nzuri ya kubembeleza; hasa pale anaponiita baby, mume wangu; najikuta naishiwa nguvu kabisa.
Nikamwambia; 'unanikoleza sana bibie, na unajua mimi ni mume wa mtu; siko tayari niitelekeze familia yangu, kwa ajili yako'. Akanijibu; 'usihofu mpenzi mi siingilii ndoa yako, ninaiheshimu sana; ila mi nataka nikupe furaha tu, ambayo huipati huko kwingine, muhimu unijali mahitaji yangu, kama mpenzi wako na utafurahi sana kuwa na mimi'.
Nikamwambia; 'kwa uzuri ulionao, nataka unizalie mtoto kama alama yangu kwako'; akajibu, 'ondoa shaka mume wangu, ni wewe tu, kwa nini nikukatalie wewe, kwani mimi nimekuwa nani?'
Hapa nilipo, nimemuambia aandae bajeti ndogo nitoke naye 'out' kabla ya pasaka, angalau akaufanyie 'service' uti wa mgongo; kwa sababu kipindi cha sikukuu nitakuwa na familia, na sitakuwa na nafasi ya kumuona.
Nilichogundua: wanaume hawana sauti kwa watoto wazuri. Ukiona mwanaume anamkoromea mwanamke, jua huyo mwanamke sio pisi kali.
Familia wako vizuri, ninachotumia ni sehemu ndogo sana mkuuIpende na kuithamini familia yako kaka! Lea familia kaka! Familia yako tu ndiyo itakuwa na wewe hata mwisho! Acha uzinzi! Wanaume halisi wamebaki wachache sana duniani! Pole.
Kwa nini tena kabila mkuu?Kabila gn huyo mrembo[emoji2]
😂😂😂Sema wanaume washamba kama wewe ndo wanapedestalize women, punguza nyege kwanza utaelewa she is replaceable, Mbaya zaidi unamsifia demu afu kuna mwamba amemleave on read.
Mbona kama nyie ndo mnavunwa sasa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yan we kuachiwa 50k ya kipoozeo ndo unaona unavuna [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] vp hali ya Hiyo K yako huko chiniWe jamaa unamichepuko mingapi[emoji848] aiseeee
Huyo dem ushamla mara ngp..na una muda nae miezi mingapi....
Kuna kitu nasense...qanawake sisi ni wezi. Kukupa maneno matamu tu ilimardi tukuvune kazi nyepesi sana...
Wanawake wote kikao saa mbili kamili usiku huuTangu nilipokutana naye tu, nakuwa namuwaza yeye; Ana sura nzuri, nywele ndefu, mweupe, mwili wa kuvutia, umbo namba nane, chura ya wastani yakuvutia (curvy), sauti nzuri ya kubembeleza; hasa pale anaponiita baby, mume wangu; najikuta naishiwa nguvu kabisa.
Nikamwambia; 'unanikoleza sana bibie, na unajua mimi ni mume wa mtu; siko tayari niitelekeze familia yangu, kwa ajili yako'. Akanijibu; 'usihofu mpenzi mi siingilii ndoa yako, ninaiheshimu sana; ila mi nataka nikupe furaha tu, ambayo huipati huko kwingine, muhimu unijali mahitaji yangu, kama mpenzi wako na utafurahi sana kuwa na mimi'.
Nikamwambia; 'kwa uzuri ulionao, nataka unizalie mtoto kama alama yangu kwako'; akajibu, 'ondoa shaka mume wangu, ni wewe tu, kwa nini nikukatalie wewe, kwani mimi nimekuwa nani?'
Hapa nilipo, nimemuambia aandae bajeti ndogo nitoke naye 'out' kabla ya pasaka, angalau akaufanyie 'service' uti wa mgongo; kwa sababu kipindi cha sikukuu nitakuwa na familia, na sitakuwa na nafasi ya kumuona.
Nilichogundua: wanaume hawana sauti kwa watoto wazuri. Ukiona mwanaume anamkoromea mwanamke, jua huyo mwanamke sio pisi kali.
Mkuu, kuna tatizo?Yaani huyo mwanamke ndio aandae bajeti????
Yeleeeeewiii
YeleeeeeeeeewiiiiWanawake wote kikao saa mbili kamili usiku huu
Haiwezekani haiwezekani
Hahaa nitakua mwenyekitiYaani huyo mwanamke ndio aandae bajeti????
Yeleeeeewiii
YeleeeeeeeeewiiiiWanawake wote kikao saa mbili kamili usiku huu
Haiwezekani haiwezekani
Hujakosea mkuuNdio yule mfanyabiashara wa vipodozi?
Kila la kheri kiongoziHujakosea mkuu
Sawa mkuuKila kheri kiongozi