Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Singeli sio mchezo
Mdundo wake ukipigwa hata sheikh lazima atikise kichwa
Mdundo wake ukipigwa hata sheikh lazima atikise kichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapemba wana kiswahili chao kama ilivyo kwa wakenya na wazaramo, mswahili og ni yule aliyejifunza kiswahili anajua kukisoma na kukiandika.Kwani waswahili original ni kina nani? Wapemba au wazaramo?
Ndivyo wanavyochezaga wazaramoTatizo la kwenye singeli ni kuwa matusi yako wai zaidi na katika kila nyimbo.......kama si maneno basi uchezaji wote ni wa kingono ngonono tu.
Uswahili ni zaidi ya lugha...ni utamaduni Fulani ambazo ni muunganiko wa tamaduni za pwani na Kiarabu.Wapemba wana kiswahili chao kama ilivyo kwa wakenya na wazaramo, mswahili og ni yule aliyejifunza kiswahili anajua kukisoma na kukiandika.
Kuna wazaramo hawajui kuandika kiswahili japo wanaongea hicho kiswahili so hawana sifa ya kumiliki hiyo lugha.
Unatafuta jibu gani tena wakati nimeshakujibu?Uswahili ni zaidi ya lugha...ni utamaduni Fulani ambazo ni muunganiko wa tamaduni za pwani na Kiarabu.
Sasa waswahili lazima wawe wanatokea maeneo hayo (ingawa sikuizi pwani imeshachanganyikana)
Mzungu wa Ukraine hata amaste kiswahili aje hawezi kuwa mswahili.
Sasa swali langu, ni kabila lipi kuu la kibantu huko pwani lililochangamana na waarabu Kwa kiasi kikubwa kutengeneza Huu utamaduni wa uswahili??
Je, ni wapemba au wazaramo?
Kusema ukweli jibu lako sikulielewa....unamaanisha wapemba ndo waswahili Og?? Kwakuwa Kuna wazaramo hawajui kuandika na kusoma?Unatafuta jibu gani tena wakati nimeshakujibu?
Ni heri uweke jibu hapa ujuavyo wewe
A : wazaramo
B : Wapemba
Weka jibu lako ili nijue kama na wewe ni wale wale ama lah.
Narudia tena kusema kuwa yeyote asiyejua kukiandika kiswahili Ila anaongea kiswahili hawezi kuitwa mswahili, og, Ila anaweza kuitwa mswahili Mbumbumbu.Kusema ukweli jibu lako sikulielewa....unamaanisha wapemba ndo waswahili Og?? Kwakuwa Kuna wazaramo hawajui kuandika na kusoma?
Bado ni waarabu, kwani mtu mweusi akijiita John au Mohammed ndio anakuwa Mzungu au mtu wa Asia?Wale warabu koko wa usukumani..hata majina walisha badili wanaitwa wakina ngwana nchambi n.k.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Utupe na wewe theory yako kwa nini? Watu wa Ulaya na Marekani ndio wanaulazimisha ushoga duniani?Basi tunaomba wewe utuelezee theory yako ...ilikuwaje pwani ikapapatukia ushoga kuliko bara?
**ila kuhusu waarabu kupenda nyuma Wala sio Siri..kila mtu anajua (Labda kama hujawahi kuishi nao/ kuwa na marafiki waarabu)
Duh?Wapemba wana kiswahili chao kama ilivyo kwa wakenya na wazaramo, mswahili og ni yule aliyejifunza kiswahili anajua kukisoma na kukiandika.
Kuna wazaramo hawajui kuandika kiswahili japo wanaongea hicho kiswahili so hawana sifa ya kumiliki hiyo lugha.
Uswahili ni uswahili na uarabu ni uarabu.Uswahili ni zaidi ya lugha...ni utamaduni Fulani ambazo ni muunganiko wa tamaduni za pwani na Kiarabu.
Sasa waswahili lazima wawe wanatokea maeneo hayo (ingawa sikuizi pwani imeshachanganyikana)
Mzungu wa Ukraine hata amaste kiswahili aje hawezi kuwa mswahili.
Sasa swali langu, ni kabila lipi kuu la kibantu huko pwani lililochangamana na waarabu Kwa kiasi kikubwa kutengeneza Huu utamaduni wa uswahili??
Je, ni wapemba au wazaramo?
Duh?
Hii maana umeitoa wapi?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pale mgagagigikoko anapojiona anajua sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kipemba ni Moja ya lahaja kwenye lugha ya kiswahili, kama ilivyo kintang'anta Cha Tanga, ama Kingazija Cha Komoro wenyewe wanakiita shikomori siku hizi.
Usisahau pia Kuna kibajuni kule Mombasa na Kimrima kuzunguka dar es salaam na mkoa wa pwani, usisahau Mtwara mpaka kule Beira pia Wana lahaja yao kinaitwa kimwani.
Mswahili ni yule mtu anayezungumza kiswahili, mwenye silka, mila na Tamaduni za kiswahili, huyo ndio mswahili, kujua kusoma na kuandika sio sifa ya mswahili maana hii ni elimu.
Maeneo wanayoishi waswahili na zile tamaduni zao si ndio uswahilini
Mzee hata neno Swahili TU ni la kiarabu....Sasa sijui unawezaje kuwa na Waswahili bila waarabuUswahili ni uswahili na uarabu ni uarabu.
Unaweza ukawa mswahili na usifuate ama kuchanganyika na uarabu.
Kitu unachochanganya hapa ni athari za dini ya kiislamu kwenye jamii ya Waswahili.
Hivi unataka kusema wale Wanyagatwa wa kisiwa Cha Mafia sio waswahili kisa hawajachanganyika na waarabu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Waarabu walikuja na walikuta kiswahili na waswahili katika pwani ya afrika mashariki na wao kujinasibisha nacho.
Hivyo Wazaramo, Wandengereko, Wamatumbi, Wangindo,Wamwera, Wamakua, Wazigua, wadigo,Wabondei, Wanyagatwa, Waluguru, Wayao,Wamakonde, wasegeju, ni waswahili
Watu wa ulaya na Marekani hawanihusu Wala Sina mpango wa kuja kwenda huko.Utupe na wewe theory yako kwa nini? Watu wa Ulaya na Marekani ndio wanaulazimisha ushoga duniani?
Kumbuka haya sio Mataifa ya kiarabu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwani ushoga upo zaidi kwenye miji au vijijini?
Neno Swahili linalotokana na neno Sawahili ambal hsa ndilo la kiarabu.Mzee hata neno Swahili TU ni la kiarabu....Sasa sijui unawezaje kuwa na Waswahili bila waarabu
Kwanza si kweli kwamba miji uliyoitaja imekuwa miji tangu zamani. Hii si miji mikongwe, ni miji inayokuwa sasa.Watu wa ulaya na Marekani hawanihusu Wala Sina mpango wa kuja kwenda huko.
Turudi hapa bongo.
Theory yako ni kuwa pwani ilianza kuwa town ndomaana ushoga ukaanza huko sio??
Mbona MWANZA,Arusha,Dodoma zimekuwa miji zamani ila ushoga umeingia juzi kupitia luninga (watu wa bara wameiga mambo ya ushoga kutoka watu wa pwani kupitia TV,mzikizl,maigizo na mitandao ya kijamii) Tena Kwa kiwango kidogo sana?
umejiunga toka 2018 ila una meseji 3,642 na likes 3,878 sawasawa na wastani wa 1.0 hii inaonyesha i.Q yako ni ya chini sana na huna uwezo wa kujenga hojaMsubiri karani wa sensa aje akuhesabu we kishoiya.