Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

Huo mziki ndio asili ya Mtanzania kabuni anaelimisha na kuburudisha jamii, kama ulizoea kupiga kifo cha mende sasa unaelimishwa kupiga style ya kuchuma tembele
 
Kwani waswahili original ni kina nani? Wapemba au wazaramo?
Wapemba wana kiswahili chao kama ilivyo kwa wakenya na wazaramo, mswahili og ni yule aliyejifunza kiswahili anajua kukisoma na kukiandika.

Kuna wazaramo hawajui kuandika kiswahili japo wanaongea hicho kiswahili so hawana sifa ya kumiliki hiyo lugha.
 
Uswahili ni zaidi ya lugha...ni utamaduni Fulani ambazo ni muunganiko wa tamaduni za pwani na Kiarabu.
Sasa waswahili lazima wawe wanatokea maeneo hayo (ingawa sikuizi pwani imeshachanganyikana)
Mzungu wa Ukraine hata amaste kiswahili aje hawezi kuwa mswahili.

Sasa swali langu, ni kabila lipi kuu la kibantu huko pwani lililochangamana na waarabu Kwa kiasi kikubwa kutengeneza Huu utamaduni wa uswahili??
Je, ni wapemba au wazaramo?
 
Unatafuta jibu gani tena wakati nimeshakujibu?

Ni heri uweke jibu hapa ujuavyo wewe

A : wazaramo

B : Wapemba

Weka jibu lako ili nijue kama na wewe ni wale wale ama lah.
 
Kusema ukweli jibu lako sikulielewa....unamaanisha wapemba ndo waswahili Og?? Kwakuwa Kuna wazaramo hawajui kuandika na kusoma?
Narudia tena kusema kuwa yeyote asiyejua kukiandika kiswahili Ila anaongea kiswahili hawezi kuitwa mswahili, og, Ila anaweza kuitwa mswahili Mbumbumbu.

Kwa kawaida Mbumbumbu wana tabia ya uropokaji na huwa hawapo tayari kujifunza, so mzaramo siyo mswahili og.
 
Basi tunaomba wewe utuelezee theory yako ...ilikuwaje pwani ikapapatukia ushoga kuliko bara?

**ila kuhusu waarabu kupenda nyuma Wala sio Siri..kila mtu anajua (Labda kama hujawahi kuishi nao/ kuwa na marafiki waarabu)
Utupe na wewe theory yako kwa nini? Watu wa Ulaya na Marekani ndio wanaulazimisha ushoga duniani?

Kumbuka haya sio Mataifa ya kiarabu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kwani ushoga upo zaidi kwenye miji au vijijini?
 
NAUNGA MKONYO HOJA,

Wenyewe watakwambia ndio muziki wetu ,uo mwingine mnaiga kwa wanaigeria
 
Wapemba wana kiswahili chao kama ilivyo kwa wakenya na wazaramo, mswahili og ni yule aliyejifunza kiswahili anajua kukisoma na kukiandika.

Kuna wazaramo hawajui kuandika kiswahili japo wanaongea hicho kiswahili so hawana sifa ya kumiliki hiyo lugha.
Duh?
Hii maana umeitoa wapi?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pale mgagagigikoko anapojiona anajua sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kipemba ni Moja ya lahaja kwenye lugha ya kiswahili, kama ilivyo kintang'anta Cha Tanga, ama Kingazija Cha Komoro wenyewe wanakiita shikomori siku hizi.

Usisahau pia Kuna kibajuni kule Mombasa na Kimrima kuzunguka dar es salaam na mkoa wa pwani, usisahau Mtwara mpaka kule Beira pia Wana lahaja yao kinaitwa kimwani.

Mswahili ni yule mtu anayezungumza kiswahili, mwenye silka, mila na Tamaduni za kiswahili, huyo ndio mswahili, kujua kusoma na kuandika sio sifa ya mswahili maana hii ni elimu.

Maeneo wanayoishi waswahili na zile tamaduni zao si ndio uswahilini
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Uswahili ni zaidi ya lugha...ni utamaduni Fulani ambazo ni muunganiko wa tamaduni za pwani na Kiarabu.
Sasa waswahili lazima wawe wanatokea maeneo hayo (ingawa sikuizi pwani imeshachanganyikana)
Mzungu wa Ukraine hata amaste kiswahili aje hawezi kuwa mswahili.

Sasa swali langu, ni kabila lipi kuu la kibantu huko pwani lililochangamana na waarabu Kwa kiasi kikubwa kutengeneza Huu utamaduni wa uswahili??
Je, ni wapemba au wazaramo?
Uswahili ni uswahili na uarabu ni uarabu.

Unaweza ukawa mswahili na usifuate ama kuchanganyika na uarabu.

Kitu unachochanganya hapa ni athari za dini ya kiislamu kwenye jamii ya Waswahili.

Hivi unataka kusema wale Wanyagatwa wa kisiwa Cha Mafia sio waswahili kisa hawajachanganyika na waarabu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Waarabu walikuja na walikuta kiswahili na waswahili katika pwani ya afrika mashariki na wao kujinasibisha nacho.

Hivyo Wazaramo, Wandengereko, Wamatumbi, Wangindo,Wamwera, Wamakua, Wazigua, wadigo,Wabondei, Wanyagatwa, Waluguru, Wayao,Wamakonde, wasegeju, ni waswahili
 
Duh?
Hii maana umeitoa wapi?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pale mgagagigikoko anapojiona anajua sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kipemba ni Moja ya lahaja kwenye lugha ya kiswahili, kama ilivyo kintang'anta Cha Tanga, ama Kingazija Cha Komoro wenyewe wanakiita shikomori siku hizi.

Usisahau pia Kuna kibajuni kule Mombasa na Kimrima kuzunguka dar es salaam na mkoa wa pwani, usisahau Mtwara mpaka kule Beira pia Wana lahaja yao kinaitwa kimwani.

Mswahili ni yule mtu anayezungumza kiswahili, mwenye silka, mila na Tamaduni za kiswahili, huyo ndio mswahili, kujua kusoma na kuandika sio sifa ya mswahili maana hii ni elimu.

Maeneo wanayoishi waswahili na zile tamaduni zao si ndio uswahilini

Msubiri karani wa sensa aje akuhesabu we kishoiya.
 
Uswahili ni uswahili na uarabu ni uarabu.

Unaweza ukawa mswahili na usifuate ama kuchanganyika na uarabu.

Kitu unachochanganya hapa ni athari za dini ya kiislamu kwenye jamii ya Waswahili.

Hivi unataka kusema wale Wanyagatwa wa kisiwa Cha Mafia sio waswahili kisa hawajachanganyika na waarabu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Waarabu walikuja na walikuta kiswahili na waswahili katika pwani ya afrika mashariki na wao kujinasibisha nacho.

Hivyo Wazaramo, Wandengereko, Wamatumbi, Wangindo,Wamwera, Wamakua, Wazigua, wadigo,Wabondei, Wanyagatwa, Waluguru, Wayao,Wamakonde, wasegeju, ni waswahili
Mzee hata neno Swahili TU ni la kiarabu....Sasa sijui unawezaje kuwa na Waswahili bila waarabu
 
Utupe na wewe theory yako kwa nini? Watu wa Ulaya na Marekani ndio wanaulazimisha ushoga duniani?

Kumbuka haya sio Mataifa ya kiarabu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kwani ushoga upo zaidi kwenye miji au vijijini?
Watu wa ulaya na Marekani hawanihusu Wala Sina mpango wa kuja kwenda huko.

Turudi hapa bongo.
Theory yako ni kuwa pwani ilianza kuwa town ndomaana ushoga ukaanza huko sio??
Mbona MWANZA,Arusha,Dodoma zimekuwa miji zamani ila ushoga umeingia juzi kupitia luninga (watu wa bara wameiga mambo ya ushoga kutoka watu wa pwani kupitia TV,mzikizl,maigizo na mitandao ya kijamii) Tena Kwa kiwango kidogo sana?
 
Mzee hata neno Swahili TU ni la kiarabu....Sasa sijui unawezaje kuwa na Waswahili bila waarabu
Neno Swahili linalotokana na neno Sawahili ambal hsa ndilo la kiarabu.
Waarabu walipokuja pwani ya afrika mashariki walikuta lugha watu wakizungumza katika mwambao hivyo kukuta ni lugha inayofanana kwa kuisikiliza.

wakasema hawa watu wanazungumza lugha inayofanana hivyo kusema sawahili wakimaanisha sawasawa.
Hivyo watu wa mwambao wa pwani ya afrika mashariki wakaitohoa na kuita Swahili.

hivyo neno kiswahili halitokani moja kwa moja na kiarabu ila linatokana na mzizi wa neno sawahili ambalo ndilo kiarabu.

watu wazungumzao wakaitwa waswahili na lugha kwa sababu inafuata muundo wa lugha za kibantu kikaitwa kiswahilina lahaja zake kama kitumbatu, kimwani na nyinginezo.

il a wakati anakuja Ibn Batuta katika karne ya kwanza alikikuta kiswahili, aliwakuta waswahili na tamaduni zao kiarabu kilichofanya ni kuathiri lugha yetu kwa sababu ya kukutawala zaidi ya miaka 400, wakafatia wareno na maneno kama meza, kiti na wenyewe walikaa miaka 400, akaja mzungu na mwenyewe akaacha athari.

ila kiswahili kipo na waswahili wapo.
 
Watu wa ulaya na Marekani hawanihusu Wala Sina mpango wa kuja kwenda huko.

Turudi hapa bongo.
Theory yako ni kuwa pwani ilianza kuwa town ndomaana ushoga ukaanza huko sio??
Mbona MWANZA,Arusha,Dodoma zimekuwa miji zamani ila ushoga umeingia juzi kupitia luninga (watu wa bara wameiga mambo ya ushoga kutoka watu wa pwani kupitia TV,mzikizl,maigizo na mitandao ya kijamii) Tena Kwa kiwango kidogo sana?
Kwanza si kweli kwamba miji uliyoitaja imekuwa miji tangu zamani. Hii si miji mikongwe, ni miji inayokuwa sasa.
si miaka mingi Mwanza ilikuwa nyuma ya Tanga na Arusha vyote kimapato na ukuaji wa mji.

ingawa sipendi kuliongelea hili suala, maana ni kama tunaupa promo hivi ila kwa muktadha wa swali lako nitalijibu.
Miji ya pwani ndio iliokuwa na mwingiliano mkubwa wa watu toka kale, yaani watu walihamia toka bara na ng"ambo hivyo kupeleka na tabia zao mbaya za uhayawani.

Nikimaanisha watu wa Ng"ambo ndio waliouleta sipendi kubagua jamii hizo, ila unakumbuka kuna msemo wanasema usipande meli ya wagiriki basi hizi jamii ndio zilisifika, na sehemu maarufu ilikuwa Mombasa, Unguja kwa sababu pia zilikuwa juu kiuchumi.

sasa hali imebadilika miji kama mwanza na Arusha imekuwa kiuchumi na inavutia wageni kuhamia hivyo zile tabia mbaya nazo kuingia pamoja na matumizi ya teknolojia kuwa kama katalyst. sasa miji kama Nairobi ndio unasifika kwa ushoga

Hii ni Tanganyika maana yake kuna Tanga=pwani na Nyika= pori hivyo ni kweli miji ilianzia pwani
 
Back
Top Bottom