Singida: Adaiwa kujinyonga baada ya kufumaniwa chumbani akiwa na baba yake

Singida: Adaiwa kujinyonga baada ya kufumaniwa chumbani akiwa na baba yake

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Msichana mdogo wa Kati ya umri wa miaka 17 Hadi 18 aitwaye Raheli mkaazi wa Kimpungua Manispaa ya Singida anadaiwa kujinyonga siku ya Jumapili 19/9/2021 baada ya mama yake mdogo kuwakuta wakifanya mapenzi na mume wake yaani baba mdogo wa marehemu.

Akielezea tukio Hilo mama huyo aliyejulikana kwa jina la Rehema Mathias au mama Yoabu alidai mnamo siku ya tukio walikuwa mgahawani kwao pamoja na marehemu ndipo alipomtuma kwenda kuleta maji nyumbani, alipomtuma alikawia sana hadi akamfuata nyumbani ndipo alipokutana na mechi kali ndani ya 6x6 huku mlango umefungwa, alipiga hodi mlango haukufunguliwa hadi aliporudi mgahawani na binti alimfuata nyuma akamuuliza mlifunga mlango na Baba yako kwanini akamwambia kaamulize baba. Wakarudi kwa pamoja hadi nyumbani kwao, yule mama akawauliza kwa pamoja yule jamaa aitwaye Fred akawa mbogo , lakini yule binti akafunguka kuwa huwa analazimishwaga na baba yake huyo,yule mama aliwaambia haya endeeleeni, akaondoka kwa hasira

Baada ya dakika 20 alifuatwa na Mume wake akaambiwa mtoto amejinyonga nenda nyumbani kamwone, na huyu bwana Fred alikimbilia moja kwa moja Polisi.

Idara ya Polisi upelelezi mkoa wa Singida walifika na kusema upelelezi wa awali unaonyesha kajinyonga mwenyewe, kitu ambacho kilikataliwa na ndugu wa marehemu pamoja na majirani waliokuwepo pale.

My take
Dunia imeharibika Sana aiseeee yani binti yako unamla asali
 
Unakuta mdogo wake wife kaumbika ukitoka job unamkuta kavaa kanga moja kalalia tumbo kwenye koch huk anaangalia Tv mara umeingia huku umetokea kule unakutana nae anatoka kuoga kafunga kanga juu ya kifua huk chuchu zimesimama kama msumari hapo mawazo ya kishetan lazma yakupate

Wanawake wenye akil huwa wanawafundisha wadogo zao jins ya kuish na shemeji
 
Kwa yeyotee, ila wale waloko ndani ya nyumba ama eneo mnamoishi ni hatari zaidi,

wazoefu wanasema hamna kitu kirahisi kama kumpa house girl mimbaa, yaweza kuwa ndo mara ya kwanza na hapo hapo mimba
Huyu sio house girl wa Fred bali ni mtoto wa shemejii yake , Dada wa tumbo moja na Mke wake
 
Unakuta mdogo wake wife kaumbika ukitoka job unamkuta kavaa kanga moja kalalia tumbo kwenye koch huk anaangalia Tv mara umeingia huku umetokea kule unakutana nae anatoka kuoga kafunga kanga juu ya kifua huk chuchu zimesimama kama msumari hapo mawazo ya kishetan lazma yakupate

Wanawake wenye akil huwa wanawafundisha wadogo zao jins ya kuish na shemeji
Sio mdogo wa mke wake,ni mtoto wa shemejii yake Fredo
 
Back
Top Bottom