mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Msichana mdogo wa Kati ya umri wa miaka 17 Hadi 18 aitwaye Raheli mkaazi wa Kimpungua Manispaa ya Singida anadaiwa kujinyonga siku ya Jumapili 19/9/2021 baada ya mama yake mdogo kuwakuta wakifanya mapenzi na mume wake yaani baba mdogo wa marehemu.
Akielezea tukio Hilo mama huyo aliyejulikana kwa jina la Rehema Mathias au mama Yoabu alidai mnamo siku ya tukio walikuwa mgahawani kwao pamoja na marehemu ndipo alipomtuma kwenda kuleta maji nyumbani, alipomtuma alikawia sana hadi akamfuata nyumbani ndipo alipokutana na mechi kali ndani ya 6x6 huku mlango umefungwa, alipiga hodi mlango haukufunguliwa hadi aliporudi mgahawani na binti alimfuata nyuma akamuuliza mlifunga mlango na Baba yako kwanini akamwambia kaamulize baba. Wakarudi kwa pamoja hadi nyumbani kwao, yule mama akawauliza kwa pamoja yule jamaa aitwaye Fred akawa mbogo , lakini yule binti akafunguka kuwa huwa analazimishwaga na baba yake huyo,yule mama aliwaambia haya endeeleeni, akaondoka kwa hasira
Baada ya dakika 20 alifuatwa na Mume wake akaambiwa mtoto amejinyonga nenda nyumbani kamwone, na huyu bwana Fred alikimbilia moja kwa moja Polisi.
Idara ya Polisi upelelezi mkoa wa Singida walifika na kusema upelelezi wa awali unaonyesha kajinyonga mwenyewe, kitu ambacho kilikataliwa na ndugu wa marehemu pamoja na majirani waliokuwepo pale.
My take
Dunia imeharibika Sana aiseeee yani binti yako unamla asali