Singida Big Day: Singida Big Stars vs ZANACO

Singida wamevaa jenzi njano juu hadi chini na mistari meusi ,vile vile ZANACO wamevaa jezi nyekundu mistari meusi
 
Mpira umeanza rasmi saa 16:13

ZANACO wamemaliza ligi wakiwa nafasi ya 6
 
Namna gani vile Mbrazil wa Singida anapiga shuti kipa wa zanako anachukua na kutema dk ya 3
 
Dk ya 4 shambulizi hatari langoni kwa Singinda kipa anaokoa
 
Kwakweli BIG STARS, kocha anakazi ya kuunganisha kikosi sasa.
 
Nachoona ZANACO wanashambuliwa ila wako makini chance moja watafanya maajabu
 
Singida United imekufa kifo cha Mende, naiombea hii isije ikafuata nyayo hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…