Singida Big Day: Singida Big Stars vs ZANACO

Hilo jina lao big stars sijalielewa, bora wangeendelea kuitwa Singida Utd.
 
HUYU WAZIRI WA FEDHA MWIGULU AKIPATAGA KAZI YA UWAZIRI TU TIMU YA SINGIDA INAFUFUKA KWA UFADHILI WAKE KIFEDHA, AKIFUKUZWAGA UWAZIRI TIMU INAPOTEAGA, ANATUMIA TOZO ZA PESA YA UMMA KUJIJENGEA UFAHARI NA UMAARUFU, VYOMBO VYA DOLA AMKENI, USAJILI WAKE BAADA YA KUPEWA WIZARA YA FEDHA NI KUFULU
 
ZANACO wanacheza nusu ya Singida big stars
 
Upigaji mkuu,anatakiwa achunguzwe
 
Upigaji mkuu,anatakiwa achunguzwe
Lakini sii bora anapiga lakini na wananchi wanasambaziwa vijisenti jameni.....sema hapa kwa kisambaz senti kwa wachezaji wa kigeni ndio alipokosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…