Singida Big Stars yakamilisha usajili wa mchezaji kutoka Argentina

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Tozo tunazochapwa ndizo zinafanya hii kazi ?

klabu ya Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imeweka rekodi Tanzania kwa kuwa klabu ya (1) kusajili mchezaji kutoka Argentina

Anaitwa Miguel Alejandro Escobar, ana umri wa miaka (27) tu ni kiungo mshambuliaji



Bila kuwasahau Wabrazil watatu

 
Tuache kulia lia kama tunataka tozo zipungue basi tuhakikishe tunaomba risiti kila wakati. Tofauti na risiti tozo hazikimbiliki
 
Hao akina Dario msimu ujao watakuwa Simba&Yanga.

Inaonesha scouting inafanyika siyo ujiko tu wakuleta watu kutoka mataifa ya soka.

Siyo wachovu!
 
Timu hiyo inaonekana ni hatari....
 
Hao akina Dario msimu ujao watakuwa Simba&Yanga.

Inaonesha scouting inafanyika siyo ujiko tu wakuleta watu kutoka mataifa ya soka.

Siyo wachovu!
Ni wamoto sana wabrazili wale.
Homeboy Mwigulu amedhamiria kuleta kombe Singida. Hayo mengine ya tozo tupambane tu😀
 
Ana undgu na Pablo Escobar!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…