Singida Big Stars yakamilisha usajili wa mchezaji kutoka Argentina

Singida Big Stars yakamilisha usajili wa mchezaji kutoka Argentina

Huu ndio ujinga wa waafrika sasa. Yaani hizo hela baadala ya kuwapa wabongo anawapa wageni.
Ni mpumbafu San huyu mjinga wa mwisho huyo mmiliki wa hyo kilabu mm sijamtaja jina mtu hapa ila Ni mjinga San kuwai kutokea unavuka mabara na mabara unaenda kuwaleta wachezaji mtu anapanda ndege nne ndio afike hapa hzo pesa hakuna wachezaji wa Happ ndani ambao hata ukimlipa laki nane tu atacheze Hadi kiwango chake Cha mwisho kwann anaenda kuwaleta walamadawa huko nje hyu mmiliki anakeraa mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Waafrica wangapi wapo Europe wanacheza football na michezo mwingine?
HV Babu una akili kweli tz tunauchumi gani. Kumleta mchezaji kutoka nnje Tena Argentina huko mwisho wa dunia kuja Happ kucheza siyo sawa kbsa hiki kitu Ni Bora tungewatumiaa wafrica wenzetu tu au wazawa Zaid uchumi Ni mbovu hatuwez kushindana na manchi kama Belgium au Spanish na UK kuwaleta mtu yoyote aje acheze hapana kabsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka huyo ni muargentina na sio mbongo, hata hao wabrazili sidhani kama wanamfikia huyu escobar, nimefuatilia baadhi ya clip zake jamaa ni fundi haswaa, waargentina wanalijua soka.

Ngoja nikaanzishe mada ya huyu fundi, na clip zake, nitakutag mzee baba.
Huna akili na hutakuwa nayo tena

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mimi tatizo langu kuu hapa bongo ni kwamba tunakua na argument ya kipuuzi kwamba by bringing foreigners wazawa watapambana.
This is a fallacy.

Kikubwa ni kwamba tujiulize imekuwaje nchi zingine zina export wachezaji sie tunashindwa? Point ya msingi ni kwamba sie hatuwatengenezi wachezaji wetu. Kama kweli kuna uzalendo hizo dollar wanazowalipa hao wageni kwa nini wasiwekeze kwenye vituo vya kulea vipaji?
Sahih kbsa mkuu sioni sabbu kumchukuwa mtu kutoa Argentina huko kuja huku HP kwa uchumi upi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mkurugenzi unadhani nje ya tozo, hizo hela za kuwasajili wachezaji wote hao zitatoka wapi?

NB: Kuna mtu atasema eti mbona hiyo timu ina wadhamini wengi!! Wangapi?

Kama ni sportpesa, GSM, nk wana maajabu gani?
Mbona wanadhamini timu yenye mashabiki wengi kama Yanga, lakini Yanga hiyo hiyo haina jeuri ya kufanya usajili wa kufuru kama wa Singida Big Stars!!!

Amka usingizini Mkurugenzi! Nchi inaliwa hii na wajanja!! Utakuja kuvuna mabua kama utaendelea kulala. Mimi ndugu yako kwa sasa niko Burundi! Baada ya kukubali matokeo.
Uko sahih kbsa. Kudos

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni mpumbafu San huyu mjinga wa mwisho huyo mmiliki wa hyo kilabu mm sijamtaja jina mtu hapa ila Ni mjinga San kuwai kutokea unavuka mabara na mabara unaenda kuwaleta wachezaji mtu anapanda ndege nne ndio afike hapa hzo pesa hakuna wachezaji wa Happ ndani ambao hata ukimlipa laki nane tu atacheze Hadi kiwango chake Cha mwisho kwann anaenda kuwaleta walamadawa huko nje hyu mmiliki anakeraa mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Nani mla madawa? Unafikiri huyu ni mtoto wa escobar wa mexico!! Mbona hujapiga kelele kwa wabrazili watatu, kwa huyu fundi ndio umeamua kuja na matusi!! Anaejua mpira hawezi kuongea hivi, halafu jifunze kuongea kistaarabu na sio matusi.

Olenimala nkoi???
 
Sasa mkurugenzi unadhani nje ya tozo, hizo hela za kuwasajili wachezaji wote hao zitatoka wapi?

NB: Kuna mtu atasema eti mbona hiyo timu ina wadhamini wengi!! Wangapi?

Kama ni sportpesa, GSM, nk wana maajabu gani?
Mbona wanadhamini timu yenye mashabiki wengi kama Yanga, lakini Yanga hiyo hiyo haina jeuri ya kufanya usajili wa kufuru kama wa Singida Big Stars!!!

Amka usingizini Mkurugenzi! Nchi inaliwa hii na wajanja!! Utakuja kuvuna mabua kama utaendelea kulala. Mimi ndugu yako kwa sasa niko Burundi! Baada ya kukubali matokeo.
Tozo zetu zinatumika kiboya sana. Huu ni msiba mkubwa kwetu watozwa tozo. Ila Madelu Mungu anamuona.
 
Tozo tunazochapwa ndizo zinafanya hii kazi ?

klabu ya Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imeweka rekodi Tanzania kwa kuwa klabu ya (1) kusajili mchezaji kutoka Argentina
🇦🇷

Anaitwa Miguel Alejandro Escobar, ana umri wa miaka (27) tu ni kiungo mshambuliaji

View attachment 2335779

Bila kuwasahau Wabrazil watatu

View attachment 2335785
Wivu utawaua nyie utopolo na mapaka..

Magarasa yenu ndio yanawauma hapa
 
Simba Sc, Young Africans na Azam Fc kweli msimu huu tunaweza kubeba kombe lolote?
 
Lisiti na tozo zinahusiana vipi?

Zinahusiana hivi watu wakiomba risiti mapato yataongezeka mapato yakiongezeka na kutosha hakutakuwa na sababu ya serikali kuweka tozo kama makusanyo ya kodi nyingine yanatosha. Tozo zimeanzishwa kwasababu hakuna makusanyo ya kutosha. Sababu moja wapo kubwa ya makusanyo madogo ni watu kutokuomba risiti na kodi nyingine hazipelekwi serikali maana ushahidi ni system za risiti.
 
Back
Top Bottom