ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Watatuletea wauza unga hawaAna undgu na Pablo Escobar!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watatuletea wauza unga hawaAna undgu na Pablo Escobar!??
Sasa sii ujinga wetu wenyewe....wee u alipwa vizuri nchini kwako na football la maana ulaya ukafanye nini? Sii naenda vacation tuu nashangaa wiki mbili narudi nyumbani. Kama wao wanavyofanya kushanga sengengeti na kurudi mamtoni kwaoWaafrica wangapi wapo Europe wanacheza football na michezo mwingine?
Huu ndio ujinga wa waafrika sasa. Yaani hizo hela baadala ya kuwapa wabongo anawapa wageni.
Tafuta hela zako, acha kupangia watu cha kufanyia. Vp GENK nao wamchukua Mbelgiji mwenzao wamwache Samata aja acheza Afrcan Sports ya Tanga au Mbagala Market??Huu ndio ujinga wa waafrika sasa. Yaani hizo hela baadala ya kuwapa wabongo anawapa wageni.
Mimi tatizo langu kuu hapa bongo ni kwamba tunakua na argument ya kipuuzi kwamba by bringing foreigners wazawa watapambana.Kumbuka huyo ni muargentina na sio mbongo, hata hao wabrazili sidhani kama wanamfikia huyu escobar, nimefuatilia baadhi ya clip zake jamaa ni fundi haswaa, waargentina wanalijua soka.
Ngoja nikaanzishe mada ya huyu fundi, na clip zake, nitakutag mzee baba.
Sawa nyie mnaotumia akili kufikiri kila leo mnabaki kushuhudia world cup kwa tv mkiwa mmekalia matako yenuTafuta hela zako, acha kupangia watu cha kufanyia. Vp GENK nao wamchukua Mbelgiji mwenzao wamwache Samata aja acheza Afrcan Sports ya Tanga au Mbagala Market??
Umetumia matako kufikiri.
Hapo kwenye risiti ndo pa kuweka usimamizi mzuri, wafanyabiashara wanazidi kuwa matajiri kwa kukwepa ile VAT kiaina.Tuache kulia lia kama tunataka tozo zipungue basi tuhakikishe tunaomba risiti kila wakati. Tofauti na risiti tozo hazikimbiliki
Sasa mkurugenzi unadhani nje ya tozo, hizo hela za kuwasajili wachezaji wote hao zitatoka wapi?Daa ni kweli tozo tunazochanjwa ndizo zinafanya hiyo kazi?.
Na usikute huyu jamaa yetu anajishughilisha pia na hizi dili, ukiondoa zile tozo zake.Watatuletea wauza unga hawa
Mkuu nakuja Burundi.... Amka usingizini Mkurugenzi! Nchi inaliwa hii na wajanja!! Utakuja kuvuna mabua kama utaendelea kulala. Mimi ndugu yako kwa sasa niko Burundi! Baada ya kukubali matokeo.
Wataje hao WatzPumbafu Sana huyu mmlilik wake kwanin anaangika na wageni wkt watz kibao wamejazana hapa wanaoluwezo wa kuchakata kabumbu vzr tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu hata mi nimewaogopa,hawa wanaweza kutoboa mbele ya Simba na Yanga,mbona Azam ilitoboa na kuchukua kombe ya ligi kuu? Sema hawa majamaa mwaka utakaofuata wanaweza wakawa chaliTozo iko kazini. Lkn kwa siasa za simba na Yanga hatoboi. Amuulize lambalamba
Anazingua tuu...hamna uzalendo wowote
Nahamia burundi🤣🤣🤣Lipa tozo...
Lete Tozo lete tozo lete tozoooooTozo tunazochapwa ndizo zinafanya hii kazi ?
klabu ya Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imeweka rekodi Tanzania kwa kuwa klabu ya (1) kusajili mchezaji kutoka Argentina![]()
Anaitwa Miguel Alejandro Escobar, ana umri wa miaka (27) tu ni kiungo mshambuliaji
View attachment 2335779
Bila kuwasahau Wabrazil watatu
View attachment 2335785
Lisiti na tozo zinahusiana vipi?Tuache kulia lia kama tunataka tozo zipungue basi tuhakikishe tunaomba risiti kila wakati. Tofauti na risiti tozo hazikimbiliki