Ni mpumbafu San huyu mjinga wa mwisho huyo mmiliki wa hyo kilabu mm sijamtaja jina mtu hapa ila Ni mjinga San kuwai kutokea unavuka mabara na mabara unaenda kuwaleta wachezaji mtu anapanda ndege nne ndio afike hapa hzo pesa hakuna wachezaji wa Happ ndani ambao hata ukimlipa laki nane tu atacheze Hadi kiwango chake Cha mwisho kwann anaenda kuwaleta walamadawa huko nje hyu mmiliki anakeraa mnoHuu ndio ujinga wa waafrika sasa. Yaani hizo hela baadala ya kuwapa wabongo anawapa wageni.
Mo pamoja na mapesa yake yote ameshindwa kuwa na timu yake ameamua kujibanza Simba kujidai nguvuuu mooyaaTozo iko kazini. Lkn kwa siasa za simba na Yanga hatoboi. Amuulize lambalamba
HV Babu una akili kweli tz tunauchumi gani. Kumleta mchezaji kutoka nnje Tena Argentina huko mwisho wa dunia kuja Happ kucheza siyo sawa kbsa hiki kitu Ni Bora tungewatumiaa wafrica wenzetu tu au wazawa Zaid uchumi Ni mbovu hatuwez kushindana na manchi kama Belgium au Spanish na UK kuwaleta mtu yoyote aje acheze hapana kabsaWaafrica wangapi wapo Europe wanacheza football na michezo mwingine?
Huna akili na hutakuwa nayo tenaKumbuka huyo ni muargentina na sio mbongo, hata hao wabrazili sidhani kama wanamfikia huyu escobar, nimefuatilia baadhi ya clip zake jamaa ni fundi haswaa, waargentina wanalijua soka.
Ngoja nikaanzishe mada ya huyu fundi, na clip zake, nitakutag mzee baba.
Sahih kbsa mkuu sioni sabbu kumchukuwa mtu kutoa Argentina huko kuja huku HP kwa uchumi upiMimi tatizo langu kuu hapa bongo ni kwamba tunakua na argument ya kipuuzi kwamba by bringing foreigners wazawa watapambana.
This is a fallacy.
Kikubwa ni kwamba tujiulize imekuwaje nchi zingine zina export wachezaji sie tunashindwa? Point ya msingi ni kwamba sie hatuwatengenezi wachezaji wetu. Kama kweli kuna uzalendo hizo dollar wanazowalipa hao wageni kwa nini wasiwekeze kwenye vituo vya kulea vipaji?
Uko sahih kbsa. KudosSasa mkurugenzi unadhani nje ya tozo, hizo hela za kuwasajili wachezaji wote hao zitatoka wapi?
NB: Kuna mtu atasema eti mbona hiyo timu ina wadhamini wengi!! Wangapi?
Kama ni sportpesa, GSM, nk wana maajabu gani?
Mbona wanadhamini timu yenye mashabiki wengi kama Yanga, lakini Yanga hiyo hiyo haina jeuri ya kufanya usajili wa kufuru kama wa Singida Big Stars!!!
Amka usingizini Mkurugenzi! Nchi inaliwa hii na wajanja!! Utakuja kuvuna mabua kama utaendelea kulala. Mimi ndugu yako kwa sasa niko Burundi! Baada ya kukubali matokeo.
Ya kweli haya?Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba
Ni mpumbafu San huyu mjinga wa mwisho huyo mmiliki wa hyo kilabu mm sijamtaja jina mtu hapa ila Ni mjinga San kuwai kutokea unavuka mabara na mabara unaenda kuwaleta wachezaji mtu anapanda ndege nne ndio afike hapa hzo pesa hakuna wachezaji wa Happ ndani ambao hata ukimlipa laki nane tu atacheze Hadi kiwango chake Cha mwisho kwann anaenda kuwaleta walamadawa huko nje hyu mmiliki anakeraa mno
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tozo zetu zinatumika kiboya sana. Huu ni msiba mkubwa kwetu watozwa tozo. Ila Madelu Mungu anamuona.Sasa mkurugenzi unadhani nje ya tozo, hizo hela za kuwasajili wachezaji wote hao zitatoka wapi?
NB: Kuna mtu atasema eti mbona hiyo timu ina wadhamini wengi!! Wangapi?
Kama ni sportpesa, GSM, nk wana maajabu gani?
Mbona wanadhamini timu yenye mashabiki wengi kama Yanga, lakini Yanga hiyo hiyo haina jeuri ya kufanya usajili wa kufuru kama wa Singida Big Stars!!!
Amka usingizini Mkurugenzi! Nchi inaliwa hii na wajanja!! Utakuja kuvuna mabua kama utaendelea kulala. Mimi ndugu yako kwa sasa niko Burundi! Baada ya kukubali matokeo.
Wivu utawaua nyie utopolo na mapaka..Tozo tunazochapwa ndizo zinafanya hii kazi ?
klabu ya Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imeweka rekodi Tanzania kwa kuwa klabu ya (1) kusajili mchezaji kutoka Argentina
Anaitwa Miguel Alejandro Escobar, ana umri wa miaka (27) tu ni kiungo mshambuliaji
View attachment 2335779
Bila kuwasahau Wabrazil watatu
View attachment 2335785
Kina kibu?Pumbafu Sana huyu mmlilik wake kwanin anaangika na wageni wkt watz kibao wamejazana hapa wanaoluwezo wa kuchakata kabumbu vzr tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Lisiti na tozo zinahusiana vipi?