Bukondamoyo
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 458
- 490
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuilongero pale wengi wana ukimwi...
Matsui ndiyo salamu ya LumumbaWewe jinga kweli hiki ni kitu gani sasa taarifa au udaku?
Huyo bwanaako mkubwa ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo, utahangaika sana. Ndiyo imetoka hiyo. Tafuteni hoja nyengine
Hahahahah wakalime mvua zinanyeshaDogo, utahangaika sana. Ndiyo imetoka hiyo. Tafuteni hoja nyengine
Hakuna sehemu kawaambia wananchi wasivae barakoa, kasema wananchi waendelee kuchukua tahadhari sababu corona bado haijaisha lakini wasiogope, waondoe hofu, kawapongeza vile hawana hofu sababu wengi hawajavaa barakoa na sio kwamba wasivae barakoa.Kwenye gari anatembea na katoni ya dawa za Madagasca akishahutubia anazama anagonga wakati wananchi anawaambia wasivae barakoa
Huko mitaani nani kavaa barakoaanawa expose wana usalama wetu na korona hawajavaa hata barakoa
Anajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.
Hahahahaaa...Safari hii mkiwa chadema mnacharazwa, mkihamia kenya mnacharazwa, mkitulia karma ya Dr.Slaa inawacharaza.
Hivi wewe una umri gani? Raisi kaongea kikubwaHakuna sehemu kawaambia wananchi wasivae barakoa, kasema wananchi waendelee kuchukua tahadhari sababu corona bado haijaisha lakini wasiogope, waondoe hofu, kawapongeza vile hawana hofu sababu wengi hawajavaa barakoa na sio kwamba wasivae barakoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu umemuombea mabaya bado anadunda tu, huoni aibuWe muache tu, japo hatumuombei mabaya