Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

Kwenye gari anatembea na katoni ya dawa za Madagasca akishahutubia anazama anagonga wakati wananchi anawaambia wasivae barakoa
Hakuna sehemu kawaambia wananchi wasivae barakoa, kasema wananchi waendelee kuchukua tahadhari sababu corona bado haijaisha lakini wasiogope, waondoe hofu, kawapongeza vile hawana hofu sababu wengi hawajavaa barakoa na sio kwamba wasivae barakoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom