Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

Nchi tajiri wameshindwa kutokana na ulaghai wao itakuwa Tanzania? Tena wao wanauwezo wa kuchapish noti tu bila exchange rate yao kutetereka unaishi dunia ipi?
nimekuuliza uchumi ni bora kuliko uhai?hizo longolongo sijaziuliza
 
Nimepishana na msafara wake Leo asubuhi kwa mwenye taarifa zaidi atujuze.


But juzi niliona post ya Kigogo akisema anaenda kuvunja bunge.


NB.mods msifute nahitaji kujua
 

“Ndugu zangu wa Singida, tuna tatizo la corona, nikawaomba Watanzania tuombe, napenda kuwathibitishia Mungu ametusikia na janga hili limepungua sana pamoja na kwamba bado halijaisha, tuchukue hatua, hapa Singida wamebaki wagonjwa watatu wanaendelea vizuri”-JPM

“Corona ipo lakini naamini itaisha tu, lakini kikubwa tusiogope na wala tusitishane, hapa Singida naona hamjawa na hofu ndio maana waliovaa barakoa wachache, hata mimi sijavaa, Mkuu wa mkoa pia hajavaa, tuombe Mungu, tuchukue tahadhari lakini tuchape kazi”-JPM
 
Kule kuna maeneo ya kutembelea sana hasa yale matumbawe
Nimepishana na msafara wake Leo asubuhi kwa mwenye taarifa zaidi atujuze.


But juzi niliona post ya Kigogo akisema anaenda kuvunja bunge.


NB.mods msifute nahitaji kujua

In God we Trust
 
Kwani uko na ugomvi na JPM? Na akipata Corona sababu ipi ya kufanya watu washangae ikiwa hao uliowataja ni maarufu huenda zaidi ya JPM nao wapeipata hiyo Corona. Sasa JPM ikiwa atapata Corona ndo iwe nongwa kwako, naye atapona kama walivyopona hao.
Binafsi sijawahi kumsikia JPM akiudharau huu ugonjwa zaidi ya kutuhamasisha tuchukue tahadhari lkn tuondoe hofu, na hata leo tu ametusisitizia kuchukua tahadhari.
Aisee, Queen Elizabeth,mwanae Prince Charles, Prime Minister Boris Johnson, wote hao Covid -19 iliwatembelea na Duani ilipigwa bumbuwazi, huyu jiwe siku zake zinahesabika, watu hawataamini

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtu wa kwanza kuhamasisha watu na viwanda vya ndani kushona barakoa kwa wingi ni yeye mwenyewe lakini cha ajabu ndo huyo huyo anahamasisha watu wasivae barakoa badala ya kuhamasisha watu waendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, ili soko la barakoa liongezeke hatimae watu waliotumia gharama zao kushona barakoa wapate kipato na kurudisha gharama walizotumia.Bado hivyo viwanda vya ndani vinavyo himizwa kuanzishwa wakati huo soko la bidhaa zake linazidi kufifishwa na viongozi hao hao
Umejitungia story yako kiongozi, watu kama wewe ambao hawasikilizi hotuba, halafu wanadandia na kutonga story za upotoshaji ni wapumbavu. Wewe ni mpumbavu kiongozi, nitangulize samahani kama nitakukosea lkn iko hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu siku hizi unabadilika kutokana na upepo unavyovuma..mwanzo ulisema anasukuma kurudumu la maendeleo akiwa ikulu Chato na wala hakua likizo.
Leo tena unasema baada ya likizo ndefu ameamua kurudi kuendelea kusukuma gurudumu la maendeleo.

Kesho akigeuza kurudi Chato kumwona mama then utasema amerudi tena kuendelea na majukumu.
Ukishindwa kusimamia jambo unakua kama hayawani flani hivi. Wajenzi wa uchumi wa kati.
Wazee wa propaganda a.k.a buku saba
 
Karibu Mh , Raisi hila nakuomba ufungue shule ,,,mapema walimu tinakufa njaa hapa chanika
 
Back
Top Bottom