Mkuu nitachukiaje kabla ya Magu kuchukiaKama umechukia jinyonge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nitachukiaje kabla ya Magu kuchukiaKama umechukia jinyonge.
nimekuuliza uchumi ni bora kuliko uhai?hizo longolongo sijaziulizaNchi tajiri wameshindwa kutokana na ulaghai wao itakuwa Tanzania? Tena wao wanauwezo wa kuchapish noti tu bila exchange rate yao kutetereka unaishi dunia ipi?
nimekuuliza uchumi ni bora kuliko uhai?hizo longolongo sijaziuliza
Corona inamsubiri kwa hamu .Kaona aibu kumuapisha naibu waziri pale J's hotel.Kaamua kurudi Dodoma.
Hapo hakuna filamu ni ukweli mtupu. Kesho au keshokutwa Mollel anaapishwa.Kwa kuandika script uko vizuri. Umewahi kuwa mtengeneza filamu labda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepishana na msafara wake Leo asubuhi kwa mwenye taarifa zaidi atujuze.
But juzi niliona post ya Kigogo akisema anaenda kuvunja bunge.
NB.mods msifute nahitaji kujua
Aisee, Queen Elizabeth,mwanae Prince Charles, Prime Minister Boris Johnson, wote hao Covid -19 iliwatembelea na Duani ilipigwa bumbuwazi, huyu jiwe siku zake zinahesabika, watu hawataamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejitungia story yako kiongozi, watu kama wewe ambao hawasikilizi hotuba, halafu wanadandia na kutonga story za upotoshaji ni wapumbavu. Wewe ni mpumbavu kiongozi, nitangulize samahani kama nitakukosea lkn iko hivyo.mtu wa kwanza kuhamasisha watu na viwanda vya ndani kushona barakoa kwa wingi ni yeye mwenyewe lakini cha ajabu ndo huyo huyo anahamasisha watu wasivae barakoa badala ya kuhamasisha watu waendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, ili soko la barakoa liongezeke hatimae watu waliotumia gharama zao kushona barakoa wapate kipato na kurudisha gharama walizotumia.Bado hivyo viwanda vya ndani vinavyo himizwa kuanzishwa wakati huo soko la bidhaa zake linazidi kufifishwa na viongozi hao hao
Wazee wa propaganda a.k.a buku sabaMkuu siku hizi unabadilika kutokana na upepo unavyovuma..mwanzo ulisema anasukuma kurudumu la maendeleo akiwa ikulu Chato na wala hakua likizo.
Leo tena unasema baada ya likizo ndefu ameamua kurudi kuendelea kusukuma gurudumu la maendeleo.
Kesho akigeuza kurudi Chato kumwona mama then utasema amerudi tena kuendelea na majukumu.
Ukishindwa kusimamia jambo unakua kama hayawani flani hivi. Wajenzi wa uchumi wa kati.
Oooh! Endelea kufikiri hivyo. Wapo wakutosha tuHaa😀😁😂
Tusitishane Ndugu Yangu
Singida Wagonjwa Ni Watatu