Pre GE2025 Singida: Tundu Lissu adai kufuatiliwa na Watu wasiojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siku zote huwa unaandika vitu vya kitoto tu.
 
Huu mchezo wa hii serikali ya hovyo inayouza rasilimali za watanganyika kisha haitaki kuambiwa ukweli kwa kuwatsiha wakosoaji ni wa kijinga, kama ameshindwa kuongoza nchi apishe wengine wanaoweza lakini sio kutaka kuwafunga watu midomo kwa njia za vitisho, kama Lissu akionesha hiyo gari kwa wananchi likawapata jambo hao wajinga waliotumwa naamini ndio akili zao zitawakaa sawa.
 
Dogo vitisho vya JF havijwahi ku work out. Ebu nenda kwa Mtozi Nyanda live uyaseme hayo kama kweli wewe ni Mwamba!
 
Freeman Mbowe hanaga msamaha na anayeonyesha Nia ya kutaka uenyekiti wa Chadema.

Lisu muulize Sumaye au familia za waliotangulia mbele ya haki akina Chacha Wangwe.
 
Wasimshambulie namuonea huruma sana uyu ndugu
Ila bahati mbaya hajui maadui wake ni nani
 
Serikali iingilie kati hiki chama chetu pendwa watamalizana.
 
Huyu mzanzibari ameamza kutumia wasiojulikana ili wamuue mzalendo mtanganyika anayetetea Mali za Tanganyika ambazo zinauzwa na mtu kutoka Nchi ya nje ya zanzibar.wa Tanganyika hatutakubali huu uhuni.Tutamfukuza arudi kwao Zanzibar akale urojo,halua na tende
 
Mnaandika uongo uliopuuzwa na kila mtu ili iweje wajinga nyie?
 
Freeman Mbowe hanaga msamaha na anayeonyesha Nia ya kutaka uenyekiti wa Chadema.

Lisu muulize Sumaye au familia za waliotangulia mbele ya haki akina Chacha Wangwe.
Alishindwa jiwe na akafa yeye kibwege sana, endeleeni kutunga uongo
 
Awaonyeshe wananchi ili wampendao wajue cha kuwafanya hao ndugu....wageuzwe mumiami wawe mkaa tu😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…