Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Jamna nahitai single mom mbona hamjitokezi....
 
Kuna mambo yanatokea katika maisha ili tujifunze
 
Sorry niliolewa na nimezaa kwny ndoa mkuu watoto wawili wazuri, sina muda wa kutegesha mimba ili niolewe. Ninaakili timamu na najitambua haswa. Pole kwa povu
 
Eti single mother na Father
Tukiondoa wale waliofiwa wenza wao
Nyinyi wengine ni matatizo
 
Tutawajua waliozaa nje ya ndoa au kuachwa leo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Inawezekana kuzaa nje ya ndoa, inaweza kuwa dhambi lkn sio wa kwanza, na ukarekebisha.
Unaweza kuachwa, kuacha kwa ajili ya Amani ya roho, usalama n.k.
Unaweza ukawa single kwa kufiwa.

Yote hayo Mimi sioni kama ni shida, kwakuwa naamini sio mapenzi ya single kuwa single.
 
Boss wangu single mom. Anachukia wanaume. Kitu kidogo povu

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Sie wakina singo faza mbona hatuwachukii wanawake ni ujinga wake tu, wa kushindwa kutawala hasira na hisia zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…