Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Kila kitu kinatokea kwa sababu. Mimi namshukuru huyu mtoto ukiacha kuniongezea furaha amenifanya nijue thamani ya kutafuta. Hii kazi ninayoifanya ingekua enzi sina mtoto ningeshaiacha muda kabisa. Ila sasa hivi nikiamka nikiona mwanangu alivyolala najikuta napata nguvu za kutoka kitandani kwenda kumtafutia aishi vizuri zaidi. Mtoto amenibadilisha sana. Ndo sababu sijuti kuwa single mom.
 
Nipo hapa. Single mom wa mtoto mmoja mzuri sana wa kiume. Japo babake mzinguaji but I love my son to death.
Ana umri gani nimuozeshe haka kabinti kangu karembo na bikira kasikokuwa na dhambi?
 
Hongera sana,Mungu akutie nguvu
 
Yani kuna mjamaa kishakupeleka clinic tayari...kweli dunia ina watu wabaya sn.
Mimi nalilia penzi lako miezi kuna mtu mwenyewe unamfuata kama mbwa kwa chatu


Mungu anakuona
Hahahaa anaanzaje kunipeleka clinic nakuacha wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…