Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Wanakera sasa. Na binadamu tumeumbwa na nyongo. Mtu hawez kukukashfu umchekee
Kwa vile hakujui na humjui mpishe apite wengine mizigo humu watakuharibia siku bila sababu jifunze kuwapuuza wa humu labda anae kashfu ana kwa ana huyo pambana nae
 
Humu ndani tikitulia vzuri na kufahamiana vzuri huenda tukafarijiana.Mi ni lisngle dad nlobobea napatikana arusha
 
Mimi Mke nilie zaa nae yupo ....lakin Natunza Mtoto wangu akikua Namchukuaa..... Akifikisha Miaka 3 nabeba ......

Motivation_Ba.D
We unatunza na Mimi natunza vilevile ...aisee sikupi ng'ooo.kwan Mimi sihitaji mtoto?
 
Au kama vip tufungue ata kagroup ketu manake hawa wenzety wana yynyanyapaaa sanaaaaaaaa
 
Uzuri uliwachukua mapema na kuwapa matunzo..sasa kuna wengine wanaacha mtoto matunzo hatoi ..badae anakuja kudai mtoto..sikupiiii
 
Wadau mimi nina swali, nasikiaga watu wakisema kubemenda,

Je nini maana ya hili neon kubenda?
 
Baba yake amekufa??? Tena toto lenyewe la kiume hahahah...!
Kwa hiyo wewe ni wa kike unavyondharau huyu wangu wa kiume? Kama umebahatika kulelewa na wazazi wako wore wawili piga magoti umshukuru Mungu, wengine hata sura za wazazi wao hawazijui
 
Wote walio comment humu ni ma single something , lakini hawapendi kujieleza, bali wanaeleza ya wengine, fyuuu
 

Uko vzr ni kina baba wachache wanaweza hata kutambua mtoto wake, anapenda nini na hapendi nini.
 
Safi sana mkuu, kazana tu ndo kulea kwenyewe huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…