Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Boss wangu single mom. Anachukia wanaume. Kitu kidogo povu

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Mwanamke asipoguswa guswa kwa muda mrefu, pia huchangia kuwa mtu wa milipuko (povu) hata kwa mambo madogo
 
Like it, keep it up mumy..love you..we are the same
 
Iam proud of you mama....keep it up
 
Uko sahihi dear, Na pia sio wote wamekuwa single kwa sababu ya kuachana tu, sababu ni nyingi ikiwemo mume/ mke kutangulia mbele za haki. Shukrani nyingi zimfikie mleta mada hii.
 
Si kila mtu anaweza akawa single mother inahitaji mtu strong confidence akili timamu tunapitia mengi kusemwa kuonekana hatuna thamani lakini yote tunayapita na jinsi Mungu si athumani watoto wetu wana akili yaan all the blessing ni sisi.
Ni kweli kabisa mpendwa, kulea familia peke yako Na mtoto akatoka mwenye maadili mema si kazi rahisi, inahitajika hekima kwakweli. Lakini nazidi kumshangaa Mungu kwa namna anavyowasimamia wanetu hata kiasi kuna sehemu unaweza linganisha maadili aliyonayo mwao uliyemlea ukiwa single Na mtoto aliyelelewa Na father& mother, wa kwako anaonekana mwenye maadili Bora zaidi. Big up kwa ma single mom wote jamani. Tuendelee kutiana moyo.
 
Wow hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…