Single mama kaniganda nashindwa kumuambia ukweli

Kuna mmoja na mimi aliniambia eti hata baba yake alimwambia mimi ndio mwanaume naemfaa.Nikaona mazegere tayari haya.
 
There is mutual benefit between them
Mana kama kusingekuwa na Cha zaidi unafaidi ungemwacha zaman sana so Cha msngi komaa naye
 
Oya Kwani huyo mwanao wewe ni baba yake wa ubatizo au(utani🤣)


Dah hapo kwenye mwanao "ety mwanao amekumiss anataka kuongea nawewe" Yan watu watie sperm we ndo uitwe baba??

Sema kwa uzoefu wangu usiumize hisia za mtu mwambie muwe marifiki tu inatosha
 
Kuna siku nilienda dukan, mwenye duka alikuwa sista flan wa makamo kidog, nikamwambia nahitaj mkate akanambia mikate imeisha.

Sasa ile nataka kuondoka akaniuliza "flan ni mama ako?" nikamwambia ndio, akanambia "naomba unioe".

Mi nilishangaa kwakwel coz mi na yeye hatujazoeana hata jina simfahamu ila kufupisha story nikwamba nilimweka kwenye friendzone ili nimfahamu vizur. Nikaja gundua baada ya kusimuliwa na mama ndo nikaambiwa kuwe huyo sista na bimkubwa ni marafik na yeye huyo sista aliachika ni single mother ana mtoto mmoja.

Nilivogungua hivo nikaanza kumkaushia mazima had sasa. Ila namuonea huruma sana.
 
Singo maza aka gundi.
Mwambie ukweli, usimpotezee muda.
 
Mpige mimba
 
Mbona fresh tu kaka, yaani unapata na bonasi ya katoto ka bure!!

Makabila si tija, umalaya kwa sasa ni hulka ya mtu binafsi.
Chukua chombo hicho tena huyo atakupenda balaa maana si kashapitia misukosuko ya mahusiano kuliko ukipata mpya.
Hamna kitu hapo. Kama angempenda na ntoto yuko kwingine sawa, ahapo anatafuta kusetiriwa na pia kutafuta 'baba' wa ntoto wake, ndio ukweli mchungu.
Na kwa kugha ya jamas, bado hana uhakika. Ni kama anataka mwambia hawezi muoa ila anasita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…