Single maza bwana, yaani baada ya kukurudisha kwenye chati ndo umeamua kumrudia baba watoto wako

Nilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako.

Nikakupenda kutokana na ucheshi na heshima ulikuwa ukinionesha kwenye nyumba tuliopanga mimi na rafiki yako.
Bwana aliekuzalisha na kukutelekeza ulimwita kwa majina yote mabaya, ukajiapiza wa viapo vyote kuwa huwezi kumsamehe.
Nilipo kununulia simu nikashangaa kukuona unajiposti kwenye mitandao, nilipokuuliza unatafuta nini huko hukuwa na majibu yanayo eleweka,

Kuna siku nilikuambia bado una mpenda mzazi mwenzio na utamrudia TU, ukabisha kumbe kwenye mitandao ulikuwa unatafuta namna ya kuonekana , akuone au wifi ZAKO waliokusimanga ulipo pauka pau wakuone unavyo shine. Sasa ukaja na stori za mzazi mwenzio anataka kuwaona watoto wakati ulisema hutomruhusu kamwe.

Sasa Leo ndo ukaamua umlete huyo mzazi meezio kwenye chumba nilichokupangia. Sina ugomvi na huyo mwanaume wako chukua kilicho chako vya kwangu ikiwa ni pamoja na Nguo , simu, kitanda, godoro, sofa za watu wawili mbili jiko la mtungi mdogo la gesi. Kabati la nguo dressing table na vyombo vyote mapazia ni mali yangu utaviacha humu.

We jamaa mchukue mkeo muondoke nikamwambia samahani kwa kuingilia familia yako, nikaona ananishangaa kapigwa na butwaa Kadada kakijifanya kulis na kuomba msamaha walipoondoka nikafunga chumba

Baadae nikampeleka mpwa wangu wa kiume ambaye aliikuwa anasoma chuo cha ardhi aishi hapo analizie kodi yangu ya miezi minane iloyobaki kwasababu alikuwa anaingia mwaka wa mwisho chuo alinishikuru sana.

Baada kama miezi mitatu nilikutana na rafiki yako akanipa umbea kuwa umemwagwa tena kwani jamaa ana mke naalisha funga ndoa,

Yaani wewe ni mbwa, huna shukrani. SI wachukii single maza LAKINI mnielewe na Mimi ni binadamu ninahisi maumivu
Mkuu msamehe sana,,hao watu Huwa wanaongozwa na hisia
 
pole sana, mi nilikuwa jirani yako pale chumba cha pembeni, so naijua story yote, itoshe kusema kosa lilianzia pale ulipoanza kudate mpangaji mwenzetu.
 
😄😆😂😀🤪😁😃😄😆😂😀🤪😁😁😁😬😅😊😄😆🤣🤣😍😀😀
 
Tunasemaga sana humu, single mother ni wa kula tu, habari ya kuoa ni mpaka ujiridhishe kuwa hatarudi tena kwa mume wake. Hawa wamama huwa wanatamaa sana wakikulinganisha kiuchumi na majamaa zao waliowatema wakiona uko chini huamua kurudi kwa ma ex wao hata kwa kwenda kubana pembeni mwa wake wapya wa waume zao wa zamani ili tu waonewe huruma na kupewa chochote maisha yasonge mbele
 
I turn back to see ma’mama face and she’s loock smiling…Let me move foward agan but it can’t do like my dady because he was impessed by sweetness.
 
Nilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako.

Nikakupenda kutokana na ucheshi na heshima ulikuwa ukinionesha kwenye nyumba tuliopanga mimi na rafiki yako.
Bwana aliekuzalisha na kukutelekeza ulimwita kwa majina yote mabaya, ukajiapiza wa viapo vyote kuwa huwezi kumsamehe.
Nilipo kununulia simu nikashangaa kukuona unajiposti kwenye mitandao, nilipokuuliza unatafuta nini huko hukuwa na majibu yanayo eleweka,

Kuna siku nilikuambia bado una mpenda mzazi mwenzio na utamrudia TU, ukabisha kumbe kwenye mitandao ulikuwa unatafuta namna ya kuonekana , akuone au wifi ZAKO waliokusimanga ulipo pauka pau wakuone unavyo shine. Sasa ukaja na stori za mzazi mwenzio anataka kuwaona watoto wakati ulisema hutomruhusu kamwe.

Sasa Leo ndo ukaamua umlete huyo mzazi meezio kwenye chumba nilichokupangia. Sina ugomvi na huyo mwanaume wako chukua kilicho chako vya kwangu ikiwa ni pamoja na Nguo , simu, kitanda, godoro, sofa za watu wawili mbili jiko la mtungi mdogo la gesi. Kabati la nguo dressing table na vyombo vyote mapazia ni mali yangu utaviacha humu.

We jamaa mchukue mkeo muondoke nikamwambia samahani kwa kuingilia familia yako, nikaona ananishangaa kapigwa na butwaa Kadada kakijifanya kulis na kuomba msamaha walipoondoka nikafunga chumba

Baadae nikampeleka mpwa wangu wa kiume ambaye aliikuwa anasoma chuo cha ardhi aishi hapo analizie kodi yangu ya miezi minane iloyobaki kwasababu alikuwa anaingia mwaka wa mwisho chuo alinishikuru sana.

Baada kama miezi mitatu nilikutana na rafiki yako akanipa umbea kuwa umemwagwa tena kwani jamaa ana mke naalisha funga ndoa,

Yaani wewe ni mbwa, huna shukrani. SI wachukii single maza LAKINI mnielewe na Mimi ni binadamu ninahisi m

Yaani wewe ni mbwa, huna shukrani. SI wachukii single maza LAKINI mnielewe na Mimi ni binadamu ninahisi maumi
Hivi huyo mwanamke akijifikiria anajiona ana akili kweli.
 
tulishasema hapa, kabla ya kuanzisha mahusiano na singo mama hakikisha anakuonesha kaburi la baba mtoto/watoto, contrary to that, u'll cry my furendi.

uongo mkuu Evelyn Salt ?
Sasa mm nasema hv,

Kuonyeshwa kaburi la baba mzazi sio kigezo cha kumuoa huyo single mother.

Single mother hafai kuolewa na mwanaume yeyote yule, kuwa na single mother ikiwa nawe n single father, Tofauti na hapo hutakiw hata kumgusa Huyo single mother.

Game linatakiwa kuanza 0:0, na sio 0:1 hata kama kocha amekufa
 
Back
Top Bottom