Single maza bwana, yaani baada ya kukurudisha kwenye chati ndo umeamua kumrudia baba watoto wako

Single maza bwana, yaani baada ya kukurudisha kwenye chati ndo umeamua kumrudia baba watoto wako

MIMI NI CCM LAKINI HILI HAPANA HAPANA HAPANA,BARABARA YA WAMI -MPAKA/SEGERA-NJIA PANDA YA TANGA NI MBOVU KABISA,INATAKA UKARABATI MKUBWA KABISA NA SI KUZIBA VIRAKA!../ KUWENI NA HURUMA NA FEDHA ZA KODI ZA WATANZANIA.
Nikupe namba ya Mh Rais uzungumze naye?
 
Kwamba single dady ndiyo mwenye uwezo wa kutenganisha waliounganishwa damu kupitia watoto?
Hawezi kutenganisha, ila kwa sababu nae ni kisababishi cha single parent, hatakiwi kuoa mdada asiye na mtoto akampa shida are single parent mwenzake walisongeshe.
 
Mwanza Dodoma, Singida Babati zote gudubayii.
Hivi hizi barabara zinazojengwa kila mahali,je wakati mkandarasi anakabidhi huwa hatoi ""verifications cerrificate of guarantee""
I certify that the road i built must last to 50s year without be demaged or broken,incase all those happen i shall be responsible!....
 
Kinachoumiza unamkuta katika mazingira magumu sana. Unajitoa kumlisha kumvesha mpaka anakuja kuwa mwanamke mwenye kuvutia ,kumbe moyo wake Bado uko Kwa mzazi mwenzio . Yaani ni unafiki TU, na jamaa akishaona mzigo unapendeza chapu anarudi, akimtumia akamchakaza anakimbia
 
Pole
Jikaze kiume.
 
MIMI NI CCM LAKINI HILI HAPANA HAPANA HAPANA,BARABARA YA WAMI -MPAKA/SEGERA-NJIA PANDA YA TANGA NI MBOVU KABISA,INATAKA UKARABATI MKUBWA KABISA NA SI KUZIBA VIRAKA!../ KUWENI NA HURUMA NA FEDHA ZA KODI ZA WATANZANIA.
Nakupongeza kwa kuona mambo ktk uhalisia wake. Kimsingi kila wizara ktk bajeti yake huwa wanaweka matumizi yote Hadi ya dharura na ukarimu yaani chai ofisinibau wakitembelewa na wageni jinsi ya kuwakarimu kwa mwaka mzima labda kama wamebadilisha utaratibu siku hizi.
 
Wewe ulikuwa humkuni ipasavyo kama huyo Baba wa watoto wake...wewe alikupendea hela tu, na inaonekana wewe una kibamia maana Wanaume wenye matango
yetu huwa hatuletagi hizi mada huk

Hayo ni mawazo ya wavulana ,Mimi ni mwanaume kaka sinaga mawazo ya vibamia au makebo hiyo mijadala ya kujadili maumbile sio level yangu
 
Kila siku tunasema msijitoe sana Kwa watu,watu Wana watu wao polee sana mkuu
 
Kwa
Hivi hizi barabara zinazojengwa kila mahali,je wakati mkandarasi anakabidhi huwa hatoi ""verifications cerrificate of guarantee""
I certify that the road i built must last to 50s year without be demaged or broken,incase all those happen i shall be responsible!....
kweli sijuwi
 
Watu wana watu wao, watu wametoka mbali. Alafu tatizo ni moyo, moyo siyo kama mguu unauhamisha unavyotaka unautoa huku unapeleka kule, ni kama sahv we unavyokuuma na huwezi kuutuliza kwa muda unaotaka. Huo moyo ndo umemponza single maza pia, utakuta mlikuwa mnakaa vizuri tu na anakuheshimu na anakiri umemsaidia lakini tatizo ni moyo. Ukishapona jaribu kutafuta kabikra kama utapata uoe even though it's not a guarantee. Kwenye mapenz vilio vya hapa na pale ni constant....
Mkuu huu ujumbe wako umeni gusa hisia sana, nilimsikia Mzee wa upako anasema huu msemo watu wana watu wao, ebu jaribu kufikiri, demu ana kua na mwana mpaka wana balehe wote wanakulana wana miaka zaidi ya Saba pamoja we juzi tu unataka uingizwe moyoni, it's okay, inawezekana ila Kwa mtu alie ZAA, no impossible bro huwezi ingia moyoni mwa mtu kizembe kaka, mwanamke ni ngumu sana kumsahau wa moyo wake ngumu sana, check demu amabae hajapitia hekaheka bado, ndo hivo vitoto sasa, age 15 kurudi chini, ila hao ma single Maza au hao walio liwa na wana zaidi ya mara tano hata kama haja ZAA, bro fikiria kabla ya kutenda.
 
Wachache bro, Kuna jamaa namjua ana mke na watoto wanne, kaoa mke wa pili single mama ana watoto wanne.

Wanaume wote peponi
Huyo walau tayari nae ana watoto, kwenye dating sites huwa wanatafutana wao kwa wao.
 
Aiseee single mother wanajuta huko waliko kila kona wanasagiwa kunguni balaa.

Ambao bado hamjazaa au kurubuniwa take care aisee hii sifa ya single mother ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom