HahahaSerikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari za viongozi
😂 Dah wanaume tuna huruma sana aisee 🙌Wachache bro, Kuna jamaa namjua ana mke na watoto wanne, kaoa mke wa pili single mama ana watoto wanne.
Wanaume wote peponi
hahahaha safari za nje au za ndani?Serikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari za viongozi
naunga hoja mkonoSasa mm nasema hv,
Kuonyeshwa kaburi la baba mzazi sio kigezo cha kumuoa huyo single mother.
Single mother hafai kuolewa na mwanaume yeyote yule, kuwa na single mother ikiwa nawe n single father, Tofauti na hapo hutakiw hata kumgusa Huyo single mother.
Game linatakiwa kuanza 0:0, na sio 0:1 hata kama kocha amekufa
wanasikia basi mkuu, wanasoma kila tunalowahasa ila kesho tena utaona mwngne kashapigwa na ktu kizito huko, et wanadai binadamu hawafanani, wanashindwa kuelewa kuwa binadamu wote ni wanyama.Kabisa mkuu kama kazaa na wababa watatu hakikisha matuta matatu haya hapa
Mwanza Dodoma, Singida Babati zote gudubayii.MIMI NI CCM LAKINI HILI HAPANA HAPANA HAPANA,BARABARA YA WAMI -MPAKA/SEGERA-NJIA PANDA YA TANGA NI MBOVU KABISA,INATAKA UKARABATI MKUBWA KABISA NA SI KUZIBA VIRAKA!../ KUWENI NA HURUMA NA FEDHA ZA KODI ZA WATANZANIA.
Kwamba single dady ndiyo mwenye uwezo wa kutenganisha waliounganishwa damu kupitia watoto?Tumewaambia mara nyingi sana, hamuelewi sijui mna shida gani. Watu wakiunganisha damu kupitia watoto ni ngumu sana kuwatemganisha.
Marry a single mom if you're a single dad!!
😃Unampangia mwanamke ana watoto wawili, kwani una miaka 50+ maana hao ndo mishe zao hizo.
Ni ajabu kijana huna hata 40 yrs unajitupa kwa single maza, tena ana watoto 2 kabisa.
Wewe ulikuwa humkuni ipasavyo kama huyo Baba wa watoto wake...wewe alikupendea hela tu, na inaonekana wewe una kibamia maana Wanaume wenye matango yetu huwa hatuletagi hizi mada huku JFNilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako.
Nikakupenda kutokana na ucheshi na heshima ulikuwa ukinionesha kwenye nyumba tuliopanga mimi na rafiki yako.
Bwana aliekuzalisha na kukutelekeza ulimwita kwa majina yote mabaya, ukajiapiza wa viapo vyote kuwa huwezi kumsamehe.
Nilipo kununulia simu nikashangaa kukuona unajiposti kwenye mitandao, nilipokuuliza unatafuta nini huko hukuwa na majibu yanayo eleweka,
Kuna siku nilikuambia bado una mpenda mzazi mwenzio na utamrudia TU, ukabisha kumbe kwenye mitandao ulikuwa unatafuta namna ya kuonekana , akuone au wifi ZAKO waliokusimanga ulipo pauka pau wakuone unavyo shine. Sasa ukaja na stori za mzazi mwenzio anataka kuwaona watoto wakati ulisema hutomruhusu kamwe.
Sasa Leo ndo ukaamua umlete huyo mzazi meezio kwenye chumba nilichokupangia. Sina ugomvi na huyo mwanaume wako chukua kilicho chako vya kwangu ikiwa ni pamoja na Nguo , simu, kitanda, godoro, sofa za watu wawili mbili jiko la mtungi mdogo la gesi. Kabati la nguo dressing table na vyombo vyote mapazia ni mali yangu utaviacha humu.
We jamaa mchukue mkeo muondoke nikamwambia samahani kwa kuingilia familia yako, nikaona ananishangaa kapigwa na butwaa Kadada kakijifanya kulis na kuomba msamaha walipoondoka nikafunga chumba
Baadae nikampeleka mpwa wangu wa kiume ambaye aliikuwa anasoma chuo cha ardhi aishi hapo analizie kodi yangu ya miezi minane iloyobaki kwasababu alikuwa anaingia mwaka wa mwisho chuo alinishikuru sana.
Baada kama miezi mitatu nilikutana na rafiki yako akanipa umbea kuwa umemwagwa tena kwani jamaa ana mke naalisha funga ndoa,
Yaani wewe ni mbwa, huna shukrani. SI wachukii single maza LAKINI mnielewe na Mimi ni binadamu ninahisi maumivu
Hili nalo neno wanapenda sana kuvaa viatu vya watu hawa mbwaWewe ulikuwa humkuni ipasavyo kama huyo Baba wa watoto wake...wewe alikupendea hela tu, na inaonekana wewe una kibamia maana Wanaume wenye matango yetu huwa hatuletagi hizi mada huku JF
Wanaume wote peponi😂 Dah wanaume tuna huruma sana aisee 🙌