Mkuu msamehe sana,,hao watu Huwa wanaongozwa na hisiaNilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako.
Nikakupenda kutokana na ucheshi na heshima ulikuwa ukinionesha kwenye nyumba tuliopanga mimi na rafiki yako.
Bwana aliekuzalisha na kukutelekeza ulimwita kwa majina yote mabaya, ukajiapiza wa viapo vyote kuwa huwezi kumsamehe.
Nilipo kununulia simu nikashangaa kukuona unajiposti kwenye mitandao, nilipokuuliza unatafuta nini huko hukuwa na majibu yanayo eleweka,
Kuna siku nilikuambia bado una mpenda mzazi mwenzio na utamrudia TU, ukabisha kumbe kwenye mitandao ulikuwa unatafuta namna ya kuonekana , akuone au wifi ZAKO waliokusimanga ulipo pauka pau wakuone unavyo shine. Sasa ukaja na stori za mzazi mwenzio anataka kuwaona watoto wakati ulisema hutomruhusu kamwe.
Sasa Leo ndo ukaamua umlete huyo mzazi meezio kwenye chumba nilichokupangia. Sina ugomvi na huyo mwanaume wako chukua kilicho chako vya kwangu ikiwa ni pamoja na Nguo , simu, kitanda, godoro, sofa za watu wawili mbili jiko la mtungi mdogo la gesi. Kabati la nguo dressing table na vyombo vyote mapazia ni mali yangu utaviacha humu.
We jamaa mchukue mkeo muondoke nikamwambia samahani kwa kuingilia familia yako, nikaona ananishangaa kapigwa na butwaa Kadada kakijifanya kulis na kuomba msamaha walipoondoka nikafunga chumba
Baadae nikampeleka mpwa wangu wa kiume ambaye aliikuwa anasoma chuo cha ardhi aishi hapo analizie kodi yangu ya miezi minane iloyobaki kwasababu alikuwa anaingia mwaka wa mwisho chuo alinishikuru sana.
Baada kama miezi mitatu nilikutana na rafiki yako akanipa umbea kuwa umemwagwa tena kwani jamaa ana mke naalisha funga ndoa,
Yaani wewe ni mbwa, huna shukrani. SI wachukii single maza LAKINI mnielewe na Mimi ni binadamu ninahisi maumivu
pole sana, mi nilikuwa jirani yako pale chumba cha pembeni, so naijua story yote, itoshe kusema kosa lilianzia pale ulipoanza kudate mpangaji mwenzetu.Nilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako.
Nikakupenda kutokana na ucheshi na heshima ulikuwa ukinionesha kwenye nyumba tuliopanga mimi na rafiki yako.
Bwana aliekuzalisha na kukutelekeza ulimwita kwa majina yote mabaya, ukajiapiza wa viapo vyote kuwa huwezi kumsamehe.
Nilipo kununulia simu nikashangaa kukuona unajiposti kwenye mitandao, nilipokuuliza unatafuta nini huko hukuwa na majibu yanayo eleweka,
Kuna siku nilikuambia bado una mpenda mzazi mwenzio na utamrudia TU, ukabisha kumbe kwenye mitandao ulikuwa unatafuta namna ya kuonekana , akuone au wifi ZAKO waliokusimanga ulipo pauka pau wakuone unavyo shine. Sasa ukaja na stori za mzazi mwenzio anataka kuwaona watoto wakati ulisema hutomruhusu kamwe.
Sasa Leo ndo ukaamua umlete huyo mzazi meezio kwenye chumba nilichokupangia. Sina ugomvi na huyo mwanaume wako chukua kilicho chako vya kwangu ikiwa ni pamoja na Nguo , simu, kitanda, godoro, sofa za watu wawili mbili jiko la mtungi mdogo la gesi. Kabati la nguo dressing table na vyombo vyote mapazia ni mali yangu utaviacha humu.
We jamaa mchukue mkeo muondoke nikamwambia samahani kwa kuingilia familia yako, nikaona ananishangaa kapigwa na butwaa Kadada kakijifanya kulis na kuomba msamaha walipoondoka nikafunga chumba
Baadae nikampeleka mpwa wangu wa kiume ambaye aliikuwa anasoma chuo cha ardhi aishi hapo analizie kodi yangu ya miezi minane iloyobaki kwasababu alikuwa anaingia mwaka wa mwisho chuo alinishikuru sana.
Baada kama miezi mitatu nilikutana na rafiki yako akanipa umbea kuwa umemwagwa tena kwani jamaa ana mke naalisha funga ndoa,
Yaani wewe ni mbwa, huna shukrani. SI wachukii single maza LAKINI mnielewe na Mimi ni binadamu ninahisi maumivu
Kabisa mkuu kama kazaa na wababa watatu hakikisha matuta matatu haya hapatulishasema hapa, kabla ya kuanzisha mahusiano na singo mama hakikisha anakuonesha kaburi la baba mtoto/watoto, contrary to that, u'll cry my furendi.
uongo mkuu Evelyn Salt ?
Wachache bro, Kuna jamaa namjua ana mke na watoto wanne, kaoa mke wa pili single mama ana watoto wanne.Unampangia mwanamke ana watoto wawili, kwani una miaka 50+ maana hao ndo mishe zao hizo.
Ni ajabu kijana huna hata 40 yrs unajitupa kwa single maza, tena ana watoto 2 kabisa.
Toeni jina Irene wekeni Labella 🥺Ila mama wawili ka kufanyia ubaya sana 😂😂😂View attachment 3615025
Nilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako.
Nikakupenda kutokana na ucheshi na heshima ulikuwa ukinionesha kwenye nyumba tuliopanga mimi na rafiki yako.
Bwana aliekuzalisha na kukutelekeza ulimwita kwa majina yote mabaya, ukajiapiza wa viapo vyote kuwa huwezi kumsamehe.
Nilipo kununulia simu nikashangaa kukuona unajiposti kwenye mitandao, nilipokuuliza unatafuta nini huko hukuwa na majibu yanayo eleweka,
Kuna siku nilikuambia bado una mpenda mzazi mwenzio na utamrudia TU, ukabisha kumbe kwenye mitandao ulikuwa unatafuta namna ya kuonekana , akuone au wifi ZAKO waliokusimanga ulipo pauka pau wakuone unavyo shine. Sasa ukaja na stori za mzazi mwenzio anataka kuwaona watoto wakati ulisema hutomruhusu kamwe.
Sasa Leo ndo ukaamua umlete huyo mzazi meezio kwenye chumba nilichokupangia. Sina ugomvi na huyo mwanaume wako chukua kilicho chako vya kwangu ikiwa ni pamoja na Nguo , simu, kitanda, godoro, sofa za watu wawili mbili jiko la mtungi mdogo la gesi. Kabati la nguo dressing table na vyombo vyote mapazia ni mali yangu utaviacha humu.
We jamaa mchukue mkeo muondoke nikamwambia samahani kwa kuingilia familia yako, nikaona ananishangaa kapigwa na butwaa Kadada kakijifanya kulis na kuomba msamaha walipoondoka nikafunga chumba
Baadae nikampeleka mpwa wangu wa kiume ambaye aliikuwa anasoma chuo cha ardhi aishi hapo analizie kodi yangu ya miezi minane iloyobaki kwasababu alikuwa anaingia mwaka wa mwisho chuo alinishikuru sana.
Baada kama miezi mitatu nilikutana na rafiki yako akanipa umbea kuwa umemwagwa tena kwani jamaa ana mke naalisha funga ndoa,
Yaani wewe ni mbwa, huna shukrani. SI wachukii single maza LAKINI mnielewe na Mimi ni binadamu ninahisi m
Hivi huyo mwanamke akijifikiria anajiona ana akili kweli.Nilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako.
Nikakupenda kutokana na ucheshi na heshima ulikuwa ukinionesha kwenye nyumba tuliopanga mimi na rafiki yako.
Bwana aliekuzalisha na kukutelekeza ulimwita kwa majina yote mabaya, ukajiapiza wa viapo vyote kuwa huwezi kumsamehe.
Nilipo kununulia simu nikashangaa kukuona unajiposti kwenye mitandao, nilipokuuliza unatafuta nini huko hukuwa na majibu yanayo eleweka,
Kuna siku nilikuambia bado una mpenda mzazi mwenzio na utamrudia TU, ukabisha kumbe kwenye mitandao ulikuwa unatafuta namna ya kuonekana , akuone au wifi ZAKO waliokusimanga ulipo pauka pau wakuone unavyo shine. Sasa ukaja na stori za mzazi mwenzio anataka kuwaona watoto wakati ulisema hutomruhusu kamwe.
Sasa Leo ndo ukaamua umlete huyo mzazi meezio kwenye chumba nilichokupangia. Sina ugomvi na huyo mwanaume wako chukua kilicho chako vya kwangu ikiwa ni pamoja na Nguo , simu, kitanda, godoro, sofa za watu wawili mbili jiko la mtungi mdogo la gesi. Kabati la nguo dressing table na vyombo vyote mapazia ni mali yangu utaviacha humu.
We jamaa mchukue mkeo muondoke nikamwambia samahani kwa kuingilia familia yako, nikaona ananishangaa kapigwa na butwaa Kadada kakijifanya kulis na kuomba msamaha walipoondoka nikafunga chumba
Baadae nikampeleka mpwa wangu wa kiume ambaye aliikuwa anasoma chuo cha ardhi aishi hapo analizie kodi yangu ya miezi minane iloyobaki kwasababu alikuwa anaingia mwaka wa mwisho chuo alinishikuru sana.
Baada kama miezi mitatu nilikutana na rafiki yako akanipa umbea kuwa umemwagwa tena kwani jamaa ana mke naalisha funga ndoa,
Yaani wewe ni mbwa, huna shukrani. SI wachukii single maza LAKINI mnielewe na Mimi ni binadamu ninahisi maumi
Sasa mm nasema hv,tulishasema hapa, kabla ya kuanzisha mahusiano na singo mama hakikisha anakuonesha kaburi la baba mtoto/watoto, contrary to that, u'll cry my furendi.
uongo mkuu Evelyn Salt ?