Single maza bwana, yaani baada ya kukurudisha kwenye chati ndo umeamua kumrudia baba watoto wako

naunga hoja mkono
 
Tumewaambia mara nyingi sana, hamuelewi sijui mna shida gani. Watu wakiunganisha damu kupitia watoto ni ngumu sana kuwatemganisha.

Marry a single mom if you're a single dad!!
Kwamba single dady ndiyo mwenye uwezo wa kutenganisha waliounganishwa damu kupitia watoto?
 
Baby Daddy kaona tak..oo linapostiwa huko kwenye Facibeki na Istagredi akaona hii ngombe mbona inawaka waka namna hii kumbe kaka mlinzi wa Casino ana haramia ngombe ya watu🤣🤣
 
Dj walete, wnawadharau watoto chuchu saa sita kua hawana matrako unaenda kubeba single mother haloooo, hakuna mziki huto sikia, but wengine wametulia ila sijawahi waona nime his tu
 
Wewe ulikuwa humkuni ipasavyo kama huyo Baba wa watoto wake...wewe alikupendea hela tu, na inaonekana wewe una kibamia maana Wanaume wenye matango yetu huwa hatuletagi hizi mada huku JF
 
Wewe ulikuwa humkuni ipasavyo kama huyo Baba wa watoto wake...wewe alikupendea hela tu, na inaonekana wewe una kibamia maana Wanaume wenye matango yetu huwa hatuletagi hizi mada huku JF
Hili nalo neno wanapenda sana kuvaa viatu vya watu hawa mbwa

Kiatu namba 10 mtu kilikuwa kinamtosha na size mguu wake

Kapanda nacho milima na mabonde mvua na Jua kiatu kishatumika ni namba 13 sasa.!

We unatoka huko na kaguu kako ka nguchiro unaishia kukaza kamba kama mwehu.! Watajua wenyewe
 
Watu wana watu wao, watu wametoka mbali. Alafu tatizo ni moyo, moyo siyo kama mguu unauhamisha unavyotaka unautoa huku unapeleka kule, ni kama sahv we unavyokuuma na huwezi kuutuliza kwa muda unaotaka. Huo moyo ndo umemponza single maza pia, utakuta mlikuwa mnakaa vizuri tu na anakuheshimu na anakiri umemsaidia lakini tatizo ni moyo. Ukishapona jaribu kutafuta kabikra kama utapata uoe even though it's not a guarantee. Kwenye mapenz vilio vya hapa na pale ni constant....
 
Pole sana mkuu, inaonekana ulimchukulia serious sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…