Single maza bwana, yaani baada ya kukurudisha kwenye chati ndo umeamua kumrudia baba watoto wako

Aiseee single mother wanajuta huko waliko kila kona wanasagiwa kunguni balaa.

Ambao bado hamjazaa au kurubuniwa take care aisee hii sifa ya single mother ni mbaya sana
It's inevitable... And it's unplanned.

And never admonish a single lady. Kumbuka wengine walikuwa wameolewa kabisa na ndoa tukufu.

But then the man died. Wala sio wahuni.

Single ladies are here to stay, they just need to sober up and upgrade themselves. So life continues with or without a man.
 
Huyu aliefiwa na mumewe naoa ila aliemuacha mumewe kwa kisingizio cha ndoa/maisha magumu sio maana siku mumewe akipata pesa atarudiana nae. Wakat huo ww utakuwa matatani sana na wkati mno.

Kuna dada anatembea na mume wa mtu huyo ni anapata mimba. Huyo anatakiwa asiolewe milele yote awe anachapwa viboko tu then shwaaa
 
Pole sana mkuu.

Tulikuonya ukaona tunakuonea wivu.
 
Hii humaanisha kwamba Asilimia kuuubwa ya wanaume ni waaminifu tena wenye upendo wa kipekee tatizo tunaharibiwa na hizi mbususu,
 
MIMI NI CCM LAKINI HILI HAPANA HAPANA HAPANA,BARABARA YA WAMI -MPAKA/SEGERA-NJIA PANDA YA TANGA NI MBOVU KABISA,INATAKA UKARABATI MKUBWA KABISA NA SI KUZIBA VIRAKA!../ KUWENI NA HURUMA NA FEDHA ZA KODI ZA WATANZANIA.
Hiyo fedha ni fair kabisa tena ni ndogo,just imagine una mawaziri na manaibu waziri zaidi ya 40+,una makatibu wakuu na manaibu zaidi ya 30+,una wakuuu wa Taasisi zaidi ya 300,una wakurugenzi wa wizara,wakurugenzi ktk Taasisi & Managers wa MDA's zaidi ya 500,bado una watumishi wa umma zaidi ya 500,000 hao wote wakitoka kutoa huduma nje ya kituo cha kazi ni lazima walipwe.
Sasa one Trillion kwenye bajeti ya 62 Trillion ni kawaida sana.

Hao CHADEMA hawana hoja.
 
Hili sio tukio la kweli ni ujuzi na maarifa ya mwandishi katika kucheza na fasihi simulizi
Swali ni wasomaji mmejifunza nini katika hili
Chambua
 

Sahihi kaka, sema yote kwa yote mambo ya mapenzi ni complicated sana hamna formula maalumu vilio ni constant. Ila the lower the body count & commitments the safer she is.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…