Single Maza kiboko ya Wavulana

Sio kweli

Mtoto daraja la kwanza ni huyo uliyemkuta nae.
Wale wengine ni raia daraja la pili, na itahitajika focus yako kuwaendeleza.

Na kama alikubali kukaa na wewe akiwa hana upendo wa dhati,
Subiri watoto wawe wakubwa basi utaona kila aina ya vimbwanga na kutothaminiwa juu.

Atakuwa yeye na mtoto wake wakipanga mipango usio shirikishwa na akiwa wa kiume utaisoma namba.

Ila unajitahidi kupingana na uhalisia
Sijui lengo lako ni nini?
 
Njian ninayoifikilia inafaa kuishi na Single Mother akakuheshim angalau kwa muda, ni usimfanye awe stable economically. Acha mshahara wake umtoshe. Husika na Mambo ya muhimu tu. Extra mwachie mwenyewe. Ingawa hili litazua tatizo lingine, atagawa mbususu huko ili atimize hizo extra za mwanae.

Haitatosha, Ila atatunza heahima japo kidogo. Kumpa miradi, kujenga nyumba kwenye kiwanja Cha jina lake, na mengine, hamna kitu utakua unafanya. Vikikamilika na akiwa na full control, shida itaanza.
 
Kama hupendi kuoa single mother si usioe? Huwezi kuoa wanawake wote duniani, kila mmoja ana machaguo yake.

Yanini kuwafanya wengine wajisikie vibaya kwa maandiko yako, kwann unapiga kampeni mbaya dhidi ya watu wengine?

Hatma yako ni mbaya usipoomba msamaha.
 
Ukiwa kama mwanadamu lazima uwe na matamanio. So mnasema hamna mpango wa kuolewa means mnampango wa kuziniwa tu. Na ikitokea imeingia mimba nyingine na nyingine ni kwa kila mtoto kuwa na baba yake. Mpaka hapa tayari mnatupa picha single mother ni watu wa aina gani. Sio kwamba tuna wanyanyapaa but mifumo ya maisha mlochagua inatupa wakati mgumu sana kuwaelewa nyie viumbe
 
Hizi ni baadhi ya kauli za wavulana juu ya single maza "ukioa single Maza ukae tayar kuchapiwa", "single Maza sio WA mtu mmoja",,, "single Maza ana wakwe pande mbili na mawifi pande mbili",,,"unaoa single Maza Una akili timamu kweli?"
Mtoa mada we single mother au umeowa single mother mbona unatokwa na Mipovu?

Kiufupi nimekufatilia nyuzi zako kadhaa nimeona we ni mtu wakusoma mavitabu ko akili yako imejaa nadharia zidi kuliko uhalisia. Tunakusubiri ukue then tutazungumza nawewe
 
Mwanamke Bora aolewe then Apate taraka yake kihalali then aanze kuwa single mother , kuliko Mtu kupewa mimba na kuzalia kwao hiyo haifai kabisa
 
Mkuu hawa bado watoto kuna vitu vingine tuwaache wakue watajua wenyewe.

Juzi tumetoka kusuruhisha ndoa: mwanamke(single mother) kazini na baba wa mtoto wake wa nje then anajitetea kwenye kikao et kisa kaambiwa na mganga ili mtoto Wake huyo apone ni lazima akutane kimwili na mzazi mwenzake.
 
Point niliyo isoma kwako ni kama hajakupenda Kwa dhati ndio huenda vimbwanga vinatokea

Hata hii IPO hata Kwa ambao sio single Maza vile vile

Labda kuna kitu hamjanielewa,sisemi single Maza wote ni Wazuri laa hasha! Natambua kuna Wazuri na wabaya

Ninacho pinga Mimi ni kuwa laani wote Kwa makosa ya baadhi Yao,hapo sio Sawa hata kidogo

Waacheni wanao penda kuwaoa na waoe
 
Mtoa mada we single mother au umeowa single mother mbona unatokwa na Mipovu?

Kiufupi nimekufatilia nyuzi zako kadhaa nimeona we ni mtu wakusoma mavitabu ko akili yako imejaa nadharia zidi kuliko uhalisia. Tunakusubiri ukue then tutazungumza nawewe
Mimi sio WA nadharia Tu hata vitendo nimefanya pia

Nimeoa single Maza na ninajua uzur wao,ndio maana napinga kampeni zenu mbaya juu ya hawa wanawake

Kama hupendi kuoa single Maza Acha Ila si vizuri kuwafanya waonekane hawana maana
 
Je ambao sio single Maza hawazini nje na kuzaa na wanaume wengine mkuu?

Mmejawa na hofu kupitiliza poleni Sana

Sio kila single Maza ni mbaya,acheni kauli mbaya juu ya hawa viumbe
 
Ngoja ninyamaze kimya tu...

Ila kaka kwa YALIYONIKUTA kwa hao dada zangu mimi BINAFSI
Naomba nikae upande wa wabaya! Tu
Pole mkuu ndio changamoto za Maisha

Kwenye kundi la mamba hata kenge nao wapo

Kama hutojali unaweza fungua code tujifunze kitu kama hutaki usijali mkuu
 
Pole mkuu ndio changamoto za Maisha

Kwenye kundi la mamba hata kenge nao wapo

Kama hutojali unaweza fungua code tujifunze kitu kama hutaki usijali mkuu


S/mother’s wengi/wote wameshaharibika mfumo wao wa ufikili
Hi ni kutokana na jamii inavyowaona/mfano ni hapa jukwaani pia kila siku tunawaongelea na kuwasema, japo sababu kubwa ni wao wenyewe!!
Hivyo wao ndio sababu ya haya yote

Utamchukua leo mtaanza maisha
Utajitoa na kumpenda kama mkeo..
Anasuka na kupendeza...
Kwa bahati mbaya nowadays kuna mitandao ya kijamii inatuunganisha!!
Anaweka picha zake huko ,jamaa anamuona anamtamani
Anaanza kumtongoza[emoji3]
Kwasababu wanakiunganishi(mtoto wao) inakua ngumu kumblock
Atakataa leo,kesho na keshokutwa....mtondogoo atakuja na gia ya mtoto

My brother umekwisha!!!
Na kwasababu hiyo inatuwia vigumu sana kuwachukua
Je hapa nan tatizo
Yeye anajua yupo na mimi iweje tena aende huko?
 
Khe
 
Ni ushauri wa bure tu kutokana na Mikasa iliyotukuta, wengi tulikua wabishi. Tuliambiwa tukakataa,

Any way Single mother awe ni last option. Huna namna, oa single mother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…