Single Maza kiboko ya Wavulana

Kwahio unajiona mwamba kuoa singo maza 😂😂😂 we ni boya tu in "CAPS LOCK"
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe unataka awepo wapi, amlazimishe mwanamke mwenye malengo yake. Hebu acheni illogical reasoning. Safari ndani ya ndoa huwa moja ila mwenzako akiwa a side journey ya kwake peke yake sio kosa la partner wake maana mliingia ndani ya ndoa kwa lengo moja. Acheni kutweka vijana wasio na hatia majukumu ambayo sio yao. Siunajua mwanaume naye ni binadamu sio robot wala slave kwa mwanamke.
 
Unakifahamu wewe basi waache vijana wengine maana pia wanakitu wanakifahamu. Katika maisha kila mtu kuna misukosuko amepitia na kujifunza, usifanye njia yako ndio iwe ya wengine.
 
Unakifahamu wewe basi waache vijana wengine maana pia wanakitu wanakifahamu. Katika maisha kila mtu kuna misukosuko amepitia na kujifunza, usifanye njia yako ndio iwe ya wengine.
Mkuu usijizime data sijamlazimisha mtu kuoa single Maza

Nimekuwa nasisitiza kama wewe huwezi kuoa Acha Ila usipige kampeni mbaya

Je hapo nimelazimisha mtu kuoa single Maza?
 
Akili ya single maza akili yake iko kwa mwanae by 1OO%!!! Ukimdekeza mtoto wake tu unakabidhiwa leseni ya kumla kama mishkaki. Shida ndio hio kila muhuni anajifanya anakea ili ale mzigo
 
Ulimuachaje mtu bila sababu? Acha utoto wewe.
 
Boss umeshasema ni mtu mzima, unajua kijana anaeanza maisha ya leo anaanza na kipato gani? Hii si 1990s au 2010s ni 2022. Unajua kijana alietokea kwenye familia ya wastani ya kitanzania anaanzia na kipato cha kiasi gani? Unafikiri ataweza kusupport watu wa tatu kwa mpigo ilihali mmoja tu yeye mwenyewe anaishi kwa kubangaiza. Narudia tena, acheni kuwatupia lawama vijana, maana kijana akishindwa kuisupport hiyo familia lawama zote ni kwake na hamna mtu atakayejali anawatu wangapi nyuma wanamtegemea.
 
Huo ndio mtihani walionao single mother wengi
 
Cha muhimu kila mmoja ajue anaweza akakosea kwenye maisha. Mimi naona bora single mama kuliko mtoa mimba. Mwanamke aliyefanya abortion hafai kuolewa na anastahili kutengwa. Single Mama ni mtu mwenye utu kumleta kiumbe duniani. Ila katika kundi lazima washenzi pia wawepo. Sijajua kama kuna sababu za kisayansi ila single mama wengi wanashindwa kujizuia kutofanya mapenzi na waliowazalisha.

Hili jambo limekuwa kikwazo kikubwa kwao kuaminika. Pia single mama wengi ni watu waliokuwa na viburi sana kabla hawajazalishwa na kutelekezwa. Yaani utakuta kijana yuko serious lakini binti anajibu jeuri kuwa wewe sio type yangu. Akishatelekezwa ndo anataka amkubalie jamaa. SINGLE MAMA SALAMA KWA KUOA NI AMBAYE MUMEWE YUKO KABURINI. Hawa wengine pasua kichwa.
 
Very Correct
 
Mara nyingi huanzaga hivyo kama isemavyo, ila wakishazoea hutaacha kuona rangi halisi. Mwanzoni penzi ni tamu, ngoja lifike katikati sasa yaani kwaujumla ni psychological conditioning ambayo haiepukiki.
 
Kwahiyo Mkuu sababu ya kuwaita Wanaume wenzio ''Wavulana'' ni kwakuwa hawapo tayari kula Single Mothers au?

Na kuoa Single mother's ndio Uanaume?
 
Kinachochekeshe kwenye huu uzi ni pale mtu anasema single mother ana akili..
Sijasema hawana akili ila kama kuwa single mother ndio kuwa na akili inafirikisha kidogo..
Single mother ni mwanamke
alipewa mimba na mwanaume mwingine hawa ni changamoto labda tu kama mwanamume huyo alikufa..otherwise ni usijaribu kabisa kuna jirani alioa single mother nilimuhurumia sana hatimaye akafa kifo tata sasa wanaume ndio wanapishana kama kariakoo
 
Mkuu usijizime data sijamlazimisha mtu kuoa single Maza

Nimekuwa nasisitiza kama wewe huwezi kuoa Acha Ila usipige kampeni mbaya

Je hapo nimelazimisha mtu kuoa single Maza?
In real sense umelazimisha, maana umemdefine mwanaume jasiri ndio huwa hivyo. Yaani ukamsigina na misifa ambayo siyo zinazomdefine mwanaume au mume. Hivyo umelazimisha kitu kisicho na uhalisia.
 
In real sense umelazimisha, maana umemdefine mwanaume jasiri ndio huwa hivyo. Yaani ukamsigina na misifa ambayo siyo zinazomdefine mwanaume au mume. Hivyo umelazimisha kitu kisicho na uhalisia.
Kwahiyo wewe hujapenda mkuu?
 
Kwahiyo Mkuu sababu ya kuwaita Wanaume wenzio ''Wavulana'' ni kwakuwa hawapo tayari kula Single Mothers au?

Na kuoa Single mother's ndio Uanaume?
Kusambaza sumu mbaya dhidi ya single Maza ni uvulana

Mwanaume kama hataki kuoa single Maza anapiga kimya

Mvulana atapiga kampeni mbaya kuchafua wadada WA watu
 
Kwahiyo wewe hujapenda mkuu?
Boss huko nikutumia hisia sasa, nikishapenda ndio itanisaidia nini. ila hata siku moja mwanaume hatoi maamuzi kwa hisia, kama wewe ulivyotumia hisia zako kumdefine wanaume wenzako kuwa ni wavulana. Ni kama vile umesema,najisikia kuwa wanaume wanaofanya hivi ni wavulana. Hizo ni hisia boss, tumia logic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…