Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Usiombe, ni taabu tupu. You need to be a strong mother. Nenda dawati kashuhudie kesi za kule, most of them ni single mums wanasumbuliwa na watoto wao.
 
Mwambie tu. Mwanao ukweli bali usidanganye
. Mwambie babako alisema ni kuchomoe
Usiongeze maneno wala ujsipunguze, yeye mwenyewe ataamua kumsamehe au kuendeleza palipo ishia
Hapana asimwambie hivyo, amwambie tu Baba yako yupo iko siku mtaonana....basi.

To yeye huyo shemdarling Baba watoto wetu mawasiliano yako aliyapataje hadi aanze kudai mtoto?
 
Msamiati Single mother umeanza miaka ya 1960s,tena umeanzia Marekani katika jamii ya mtu mweusi.

Ni sawa na kusema amapiano ilikuwapo Tanzania kabla ya uhuru, hivi ni kweli?! [emoji23][emoji23]
Ushasema ni msamiati tu,je Kabla ya huo msamiati hakukuwepo wanawake waliolea watoto peke yao?
 
Kuna watukutu kibao wametokea Katika familia zenye baba na mama,hizo tabia mbaya ni matokeo tu ya malezi na mazingira
 
Singo maza wote mbumbumbu bogus OmbaOmba wagawa utamu hopeless wapenda waume za watu wamejaa stress wachawi wana roho mbaya... Vijana msithubutu kuoa singo maza hawanaga akili
Ni hao uliokutana nao ambao hawana akili,wapo s/ mom wako vizuri upstairs kuliko hivyo vi slay queen vyenu,so don't generalize.
 
Hapana hajaleft kabisa Life strategies zake amejiwekea
Muone!

Wewe ni mwanasaikolojia mzuri sana. Ana trauma huyo. Shughulika naye umrudishe kundini. Si wanaume wote ni wabaya na huyo aliyemuumiza asije akatuharibia wote.

Can I count on you on this? 🙏🏿🖐
 
Muone!

Wewe ni mwanasaikolojia mzuri sana. Ana trauma huyo. Shughulika naye umrudishe kundini. Si wanaume wote ni wabaya na huyo aliyemuumiza asije akatuharibia wote.

Can I count on you on this? 🙏🏿🖐
Shimba ya Buyenze I think this is obvious but sometimes it’s good to have a reminder..you aren’t required to date men.. You’re not required to “just give them a chance”😊

Not that you have to date women either😊..I have bunch of few people like that Ms eyes sometimes we need to understand them as they are it doesn’t mean that they’re mentally challenged 🤣👋

You know sex is overrated 🤣👋
 
Obviously🙊, sex is overrated but we can’t stop fearing them🌚
 
Ivi mwanao umempa jina la pili au la ukoo la mwanaume aliyekupa mimba au jina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…