Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Ukishamuachia binti kazi ya kutafuta mwenza mwenyewe ushafeli. She might not become a single mum, but the behind the scenes..!! Siku hizi heart break ni rite of passage! Society/parents have failed big time here!
 
Ntarud kusoma comment πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£

Wazee wa kupinga ma single mama mkuje huku mnaitwa.......
 
Ntarud kusoma comment πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£

Wazee wa kupinga ma single mama mkuje huku mnaitwa.......
Wamepinga mpaka nimechoka kusoma comments zaoπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
 
Asante Kwa maarifa πŸ€“πŸ˜Š single mama tumieni notes za Bure Ili usije zalisha single mama mwingine....................
 
So
Ukishamuachia binti kazi ya kutafuta mwenza mwenyewe ushafeli. She might not become a single mum, but the behind the scenes..!! Siku hizi heart break ni rite of passage! Society/parents have failed big time here!
So kwa hiyo ww mabinti zako utawatafutia?

Sawa siku hizi kuna vitu vyingi ambavyo sio vizuri kwa mabinti zetu,ila havizuii kumfundisha binti yako.

Kazi ya mzazi ni ni kuongea na binti, kumpa hali halisi ya ulimwengu ulivyo, kumweka karibu na Mungu na kumfundisha nini maana ya thamani ya usichana wake na ndoto zake.

Tatizo la siku Jando na Unyago tumevipiga teke,ulikuwa ni mfumo mzuri sana wa kuwaandaa vijana. Nenda vijijini kule,single mothers unawatafuta kwa tochi,unakuta kijana kaoa ana mji wake na anashughuli zake.

Sasa njoo mjini huku vijana wa siku hizi wame invest kwenye alkasusu,vumbi na gym na mabinti wenye ndio hao akili yao imetawalia na mafundisho ya social networks, tamaa za fedha,hawana hofu ya Mungu na hawana mafunzo ya Jando na Unyago so lazima haya ya tokee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…