Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Binti/msichana liogope kundi hili.
1 F*ckboy.
2.Playboy.
3.Mume wa mtu .

Hilo ndilo group linalo ongoza kutengeneza single mother, moja na mbili hawa kazi yao kutengeneza mwonekano, kushinda gym na mwendo wa kuulamba ila hawana time na mimba. Namba tatu hao wana hela hapo ndipo dada zangu wanapo potezwa.

Kundi hili.
Church boy /Kijana wapole hawa ndio wa kukomaa nao na mara nyingi wako real sana na wapo tayari kubeba misalaba yao kama baba,tatizo wanawake wengi zaidi ya 70% huwaga hamuwapi nafasi,mnawaona wamepooza,mara hawajui kuvaa nk.

NB
Dada yangu acha unyonge, so always kuna second chance ukiipata husiipaishe,maana wengi wenu kwa wababa mliozaa nao beki hazikabi.
Ukishamuachia binti kazi ya kutafuta mwenza mwenyewe ushafeli. She might not become a single mum, but the behind the scenes..!! Siku hizi heart break ni rite of passage! Society/parents have failed big time here!
 
Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka. Yaani bila kutarajia mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka. Nikisema iliingia kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya tulipanga nami nilijiaminisha kwa sababu kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss, nimelipata bwana!

We bwana wee kumbe nimepatikana, yaani Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba" nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms. Siyo kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa noo, ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu, jamaa alichoniambia ni kuwa umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!

Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu. Sasa ninachokuuliza hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto. Mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa. Nilimwambia nitakuwahisha kunizoea๐Ÿ˜–๐Ÿคจ

NB: Sijawahi mjaza sumu mwanangu hicho ndicho nilichoshinda namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano. Hongereni kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni kaz kweli.

Nawapenda sana๐Ÿ˜๐Ÿ˜˜
Ntarud kusoma comment ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

Wazee wa kupinga ma single mama mkuje huku mnaitwa.......
 
Ntarud kusoma comment ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

Wazee wa kupinga ma single mama mkuje huku mnaitwa.......
Wamepinga mpaka nimechoka kusoma comments zao๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ
 
Binti/msichana liogope kundi hili.
1 F*ckboy.
2.Playboy.
3.Mume wa mtu .

Hilo ndilo group linalo ongoza kutengeneza single mother, moja na mbili hawa kazi yao kutengeneza mwonekano, kushinda gym na mwendo wa kuulamba ila hawana time na mimba. Namba tatu hao wana hela hapo ndipo dada zangu wanapo potezwa.

Kundi hili.
Church boy /Kijana wapole hawa ndio wa kukomaa nao na mara nyingi wako real sana na wapo tayari kubeba misalaba yao kama baba,tatizo wanawake wengi zaidi ya 70% huwaga hamuwapi nafasi,mnawaona wamepooza,mara hawajui kuvaa nk.

NB
Dada yangu acha unyonge, so always kuna second chance ukiipata husiipaishe,maana wengi wenu kwa wababa mliozaa nao beki hazikabi.
Asante Kwa maarifa ๐Ÿค“๐Ÿ˜Š single mama tumieni notes za Bure Ili usije zalisha single mama mwingine....................
 
So
Ukishamuachia binti kazi ya kutafuta mwenza mwenyewe ushafeli. She might not become a single mum, but the behind the scenes..!! Siku hizi heart break ni rite of passage! Society/parents have failed big time here!
So kwa hiyo ww mabinti zako utawatafutia?

Sawa siku hizi kuna vitu vyingi ambavyo sio vizuri kwa mabinti zetu,ila havizuii kumfundisha binti yako.

Kazi ya mzazi ni ni kuongea na binti, kumpa hali halisi ya ulimwengu ulivyo, kumweka karibu na Mungu na kumfundisha nini maana ya thamani ya usichana wake na ndoto zake.

Tatizo la siku Jando na Unyago tumevipiga teke,ulikuwa ni mfumo mzuri sana wa kuwaandaa vijana. Nenda vijijini kule,single mothers unawatafuta kwa tochi,unakuta kijana kaoa ana mji wake na anashughuli zake.

Sasa njoo mjini huku vijana wa siku hizi wame invest kwenye alkasusu,vumbi na gym na mabinti wenye ndio hao akili yao imetawalia na mafundisho ya social networks, tamaa za fedha,hawana hofu ya Mungu na hawana mafunzo ya Jando na Unyago so lazima haya ya tokee.
 
Back
Top Bottom